Ni nani huyu anyedhalili wimbo wetu wa Taifa Redioni?

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Jamani hata kama nchi haina kiongozi mzuri Kama Tz leo, Bado tunahitaji urithi wetu ulindwe vema. Hasa WIMBO wetu mtukufu wa TAiIFA. Sijui ni nani mwenye mamlaka ya kuulinda, nasema sijui. Siku hizi za karibuni (juma hili) nimekua nikisikia sauti MBAYA kabisa ikiuimba wimbo wetu vibaya sana. Hii ni dhihaka kubwa kwetu wa TZ. Ukizingatia wimbo huu ulikuwa ukiimbwa redioni na vyombo vya ulinzi tu. Leo unaimbwa ovyo ovyo na wasanii wasio na maadili. Hata Masanja amefikia (the origino komedi) hapo pia. Tafadhali tuuheshimu na isiwe rekoding ya mtu binafsi hii ni mali ya Taifa. Acheni ujinga chezeeni hayo mengine.
 
Unaanza kuchanganyikiwa..........kamuone daktari wa vichaa fasta pale Muhimbili.
 
Mbona hao wataalamu hawapo ningekupeleka wewe kwanza uliyeniona mimi kichaa nawe mzima. Hiyo ndiyo sheria ya vichaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom