Mch Mtikila leo tunamwenzi je? Ktk hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mch Mtikila leo tunamwenzi je? Ktk hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Dec 9, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mtikila amekuwa mtu wa kwanza tz kudai na kuweka wazi kuwa uhuru ni wa tanganyika na si tanzania hvy anaimiza tz idai uhuru wake pia ni muhasisi wa mchakato wa madai ya katiba japo wajanja wamenzidi kete kisiasa na kudai ni yao.hakika unastahi kuheshimika ktk hili
   
 2. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Nabii hakubaliki kwao!
  Na yote aliongea na kusimamia leo yanatimia moja hadi jingine!
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata mimi ni mtanganyika
   
 4. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Amepambana sana Mch. Mtikila, nadhani limebaki swala la Mgombea binafsi na ile issue ya ma*********
   
Loading...