Je tunasherehekea nini leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je tunasherehekea nini leo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kagarara, Dec 9, 2011.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sielewi, je tunasherekea uhuru wa Tanganyika ipi? Kwani kuna nchi inaitwa Tanganyika? Mm ninavyojua kuna nchi inaitwa Zanzibar kwan wana katiba, bendera na rais wao, lakin hakuna nchi inayoitwa Tanganyika! Ndg zangu mtakubaliana na mm kuwa tunasherehekea miaka 46 ya kifo cha Tanganyika? Tafakari! Hii nimeiandika kwa nia njema, naomba kuelimishwa make mm kama mm sielewi kabisa.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hayo maswali umeuliza.. yaweza kua kama mzaha but ni ya Msingi saana. Ni maswali ambayo mtu mwenyewe hana interest hawezi kua hata na idea ya kuyauliza. In other words ni kua mpaka umeuliza haya ina maana una maoni yako ya Msingi ambayo unayo in relation to the whole thing... Angalizo, Toa maoni yako mkuu then tuendelee na Mjadala ambao kweli utatoa hasa mchango unaouhitaji ama kukufaa....
   
Loading...