Katika taarifa ya habari ya saa 2.30 usiku wa leo RFA, TBS wanasema kuwa kuanzia Februari 2012 watakuwa wakikagua bidhaa kwenye maeneo zinakotokea ili kuthibiti bidhaa zisizo na ubora. Je, kuna...
The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzanias President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts.
According...
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe, amerejea nchini akitokea Hospitali ya Apollo nchini India alikolazwa kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa ngozi. Dk Mwakymbe...
POLISI kanda maalumu Tarime/Rorya wanachunguza tukio la askari wake wawili kulimiminia risasi basi la abiria lenye namba za usajili T 928 BWK likiwa limeegeshwa baada ya wao kulisimamisha...
Rais Njaa kaya Kiwete hivi karibuni aliwalipa fadhila marafiki na washikaji zake kwa kuwapa ubalozi. Yupo Marmo, Kamala na Baruan waliokataliwa na wapiga kura. Marmo kwa kupayuka kama anajamba...
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi.
KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
Mzazi wa kiume yaani Baba, umli umeenda na amestaafu kazi huu wapata mwaka wa pili. Watoto wake ni mmoja tu kati ya watatu ndo kahitimu na Mungu kajalia ana Ajira.
Wamebakia wawili, mmoja kidato...
Huu mtindo wenu wa washa zima tumeuchoka hasa huku Kijitonya,Mnawasha dakika kumi mnazima masaa nane,Mkiwasha tena mnazima,Tumechoka na washa zima yenu mtatuunguzia vitu vyetu,Yakitokea mashindano...
Hii sera ya kuuza nyumba za NHC kwa wapangaji wake WA MUDA MREFU, kwa mtazamo wangu haina mantiki kabisa wala faida kwa Watanzania. Wapangaji wengi wa NHC nyumba wanazokaa wamezipata kwa rushwa...
Hadi leo ukiniuliza vitambulisho vya Taifa ni vya nini? jibu ni sijui, sbb Passport ndio kitambulisho worldwide kinajulikana, nasisitiza huwezi kwenda nje ya nchi ukasema nina kitambulisho cha...
Matatizo yaliyojitokeza katika chama cha NCCR mageuzi mpaka kusababisha mh David Kafulila kuvuliwa uanachama, uenda yakamkumba mh Hamad Rashid ndani ya CUF kama ataendelea kukiuka taratibu na...
Naomba kuleta hoja hii mbele yenu tuijadili hoja kama hoja na sikumjadili Lowassa au nafasi aliyokuwa nayo kama waziri mkuu.
Kuna vitu twaweza kubeza na kunavitu nilazima vifanyiwe kazi kwa faida...
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi.
KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
Watu walikuwa wengi sana na mamilioni yalikusanywa! Lakini vyombo vya habari havikuipa kipaumbele je,hiyo si habari? Mbona harambee za makanisa zinapamba vyombo vya habari? Kunanini hapa?
Kuna jamaa nafikiri wako Marekani kama sijakosea!Mara kwa mara wananitumia matangazo yao kupitia e-mail address yangu kama ujumbe wao unavyojieleza hapa chini.
Hii huduma wanayotoa,binafsi...
Nipo kwenye shabby bus kuelikea dom.bus linapokaria mizani,wahusika wa bus wana waomba watu waliokaa nyuma kuhamia mbele.
Hapo si tunaharibu wenyewe barara zetu?
Kama ni wewe ungeshirikiana na...
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha...