Ewura ifutwe tujue moja

Nadhani kufutwa inaweza ikawa ndio jibu, ila pia kuiboresha pia inaweza ikawa jibu pia. Tuangalie mapungufu halafu yarekebishwe.
 
wafanyabiashara wanaweza kuwa sahihi kwani hawawezi kuuza old stock waliyonunua bei juu kwa bei mpya ndogo.sasa hapo ewura wanachemsha sio kutoa toa takwimu zisizowezekana
 
mbona kwenye kupandisha bei hawagomi kuwa hadi stock iishe?. Wafanyabiashara si wa kutetea kabisa, kushuka na kupanda kwa bei ni mambo ambayo yanajulikana. Si kila siku wategemee faida, kuna kipindi watapoteza pia.
 
Hawa wanajua udhaifu wa serikali. Huwezi leta mchezo huu kwa nchi za wenzetu
 
mbona kwenye kupandisha bei hawagomi kuwa hadi stock iishe?. Wafanyabiashara si wa kutetea kabisa, kushuka na kupanda kwa bei ni mambo ambayo yanajulikana. Si kila siku wategemee faida, kuna kipindi watapoteza pia.
mkuu jibu ni fupi,ukiuza kwa hasara who will compesate?
 
Back
Top Bottom