Kikwete kateua mabalozi au ka-recycle makapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kateua mabalozi au ka-recycle makapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 20, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Rais Njaa kaya Kiwete hivi karibuni aliwalipa fadhila marafiki na washikaji zake kwa kuwapa ubalozi. Yupo Marmo, Kamala na Baruan waliokataliwa na wapiga kura. Marmo kwa kupayuka kama anajamba! Kamala yeye ni bingwa wa kughushi shahada huku Baruan akifoji hata kabila lake. Je Kikwete ameteua mabalozi au ku-recycle makapi kwa ajili ya kuwaibia kodi wadanganyika? Nini mawazo yako kuhusiana na ufisadi huu wa kidiplomasia baada ya kugundua kuwa kuna kujuana kwenye balozi zetu?
   
Loading...