ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LeoKweli, Jun 4, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzania’s President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts.
  According to Habari Leo , a Tanzanian newspaper[sw] the country’s police are seeking help from Interpol in tracing the owners and publishers of the blog.
  Ze utamu (www.************), probably Tanzania's most controversial blog, came to the limelight by publishing a mixture of Tanzanian Diaspora gossip, nude and sex photographs of well known people as well as name-and-shaming articles. While it attracted many readers, the blog has also attracted criticism.
  Some bloggers are of the opinion that the authorities did not care when posts about ordinary citizens were posted at ze utamu. A comment from a blog post at Watanzania Oslo blog that posted the Habari Leo article about the police hunt for ze utamu blog owners says:
  Mtandao huu wa ze utamu umkuwepo kwa muda mrefu sana na watu wengi wasio na hatia (raia wa kawaida) wamedhalilishwa sana kupitia mtandao huo kwa picha zao kuwekwa bila ridhaa yao. nyingi ya hizo picha ni za utupu na hata zile ambazo siyo za utupu ziliwekwa bila ridhaa ya wahusika. hivi kuwekwa picha ya rais Kikwete ndo kile chombo kinachojifanya cha usalama kinakurupuka kuwasaka wenye mtandao? […]unafiki mkubwa na ufisadi aina nyingine huu. kudhalilishwa ni kudhalilishwa, ama iwe ni raia tu, kiongozi wa kawaida na hata rais.
  Ze utamu has been around for a long time and many innocent people (average/normal citizens) have been shamed through this site when their photographs were posted without their consent. Most of them are nude photographs and even those that are not were posted without consent. Is it true that only by posting the president’s photos has prompted that institution that claims to be the security and regulatory body to jump and pretend to search for the site owners? […] this is hypocrisy, degrading people means degrading people, be they ordinary citizens, leaders or even the president.
  That point was also raised by Happy Katabazi :
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  It's no secret that the process of deleting the sight was rapid when the president was involved. The blog had been around for many months but nothing was done but after the president was humiliated it prompted a fast tracking of the people involved and within a short time it was closed down. I truly believe that the only reason it was taken down was because the president was shown, I could be wrong.
   
 3. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  This is tell us a lot on the approach, we should use if we want to see the president take seriously the Corruption isuues, I think instead of ducking to other small fishes we should take him on , going back to his history when he was a minister of Minerals .........

  We want to support him but everyday he provide us with the resorns of taking him on
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jun 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hivi ni mi tu au? Hicho kichwa cha habari hakiendani na habari!
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hakiendani. Utadhani ameshakamatwa na anasubiri hukumu ya kufungwa jela.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jun 4, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Thank you! Hii miandishi ya habari Afrika inaaibisha fani ya uandishi wa habari....
   
  Last edited: Jun 4, 2009
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mtu aliye shiba hawezi kulalamikia ukame hata siku moja. Mpaka ukame umathiri na yeye ndiyo ata simama na kufanya kitu. Hawa viongozi wetu wengine hawana tabia ya kushugulikia baadhi ya mambo kama they have nothing to lose.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Quoting NN, "Miafrika Ndivyo Tulivyo".
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ze utamu Oyeeeeeeeeeeeee!!!!!!
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kidumu Chama Cha Mautamu? Lol.
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli atafutwe na ashitakiwe lazima......
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280


  Mkuu NN, nilifikiri kutokana na kichwa cha habari kuwa jamaa tayari alishafikiswa kizimbani na akasomewa hukumu as it reads "ZEUTAMU BLOGGER FACES JAIL TERM OVER MANIPULATED..." kusoma utumbo wa ndani lo kumbe eti ni msaada wa Interpol unatakiwa ili kumpata. Waandishi uchwara bwana, sijui ndo tunawaita makanjanja.

  Lakini inside out, kwani mpaka leo hawajaweza kumkamata au kuna mkono wa mheshimiwa???

  Kumbe tukitaka serikali iwajibike tunatakiwa kuandika mambo mazito!!!!! Au??
   
 13. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Shindwa na ulegeee sema Mafisadi ndivyo walivyo
   
 14. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!11 kidumu DAIMA
   
 15. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natamani Zeutamu arudi tena hewani,sijui kajichimbia wapi huyu bwana,au ndio vitisho vimezidi kuongezeka? licha ya huyu bwana kudhalilisha baadhi ya watu lakini alikuwa anatupatia FULL MAUTAMU.
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sorry mkuu ngoja ni restate, "MIFISADI NDIVYO ILIVYO".
   
 17. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hivi mimi najiuliza, kama hauna cha kuficha utaogopa zeutamu? Sawa kuna walio kuwa wana singiziwa je na walio piga picha za ajabu? wasinge piga hizo picha zisinge wekwa hadharani.
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Waandishi wetu wengi wameivamia fani ya uandishi bila mafunzo na ndio maana wanaitwa makanjanja !! Ni jukuumu letu sisi kama jamii kuhakikisha kuwa waandishi wetu wa magazeti wanapata mafunzo stahiki ili watuhabalishe vizuri.!!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Yule mzee wa Vacation si ana fanya kazi kwenye gazeti hili? Huko anako zunguka kumbe hang'amui chochote zaidi ya kutalii. Mnao mtetea mje tena.
   
 20. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unajua wengi walikuwa wanapinga sana uwepo wa zeutamu maana wengi wetu matendo yetu sio mazuri.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...