Je,sisi wanyonge tutaweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,sisi wanyonge tutaweza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kayundi2, Dec 19, 2011.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi.
  KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu huku hotel moja jijini Dar-es-laam ikiitisha USD 28,000
  kwa usiku wa tarehe 24.Linganisha bei katika hotel muhimi jijini Dar
  Linganisha Gharama Za Mahoteli Jijini Dar-es-laam and Miji Mingine Tanzania
   
 2. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuweza kufanya nini babu, kustarehe nako kunahitaji uwezo. Hata paka ana starehe zake. Cha muhimu kuwa mbunifu, chukua wife na watoto weka kwa mkoko nenda kwa vichaka kufanya pikiniki huku mevalisana kaputula, nunua mamvuli saaafi 3 za kufanya kivuli chini ya miti, hakika veve tasterehe kuliko patel hotelini, hapana penda makuu bana kama pesa hakuna
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  asante mkuu,kwa kutoa universal definition ya neno STAREHE.
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  asante mkuu,kwa kutoa universal definition ya neno STAREHE.Mimi starehe yangu huwa ni kupanda juu ya mti hasa mwembe,ni raha tupu!
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kwani starehe lazma uende kwenye hizo hotel?. Tumia sikukuu kuzungukia hospitali kuwasalimia wagonjwa. Pia vituo vya kulelea watoto yatima. Hiyo itakuwa starehe kubwa kushinda hizo za kwenda kwenye hizo hoteli zao.
   
Loading...