Mmeomba mvua kwa munguu kavunja na koki kabisa soln muombe tena arushie koki apunguze speed

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Wapendwa katika bwana
nilikuwa katika maombi ya kuomba mvua inyeshe pale jangwani na kule mnazimmoja
mungu ameamua kufungua koki kabisa kusikiliza maombi yenu

je amuhisi soln ya hizi mvua turrudi uwanjan tena kuomba arudishie hiyo koki yawezekana
kaitoa kabisa ndio maana inamwagika hivi ...na soln ni kuomba airudishie hata ajitahdi kupunguza
speed ikiwezekana hata aifunge kabisa kwa muda jamani

kwetuu wanamaombi
 
anikumbusha kitabu kitakatifu cha biblia kuhusu ile hukumu aliyoitoa Mungu kwa watu katika ile gharika ya MVua, nuhu na familia yake ndo walipona
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom