Vyombo vyetu vya habari ni mateka wa vyombo vya magharibi?

ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,964
174
Sote ni mashahidi kuwa tulishuhudia jinsi vyombo vya magharibi vilivyorepoti juu ya kila kilichoitwa Arab spring, na vyombo vyetu vilikuwa ni photocopy ya vyombo hivyo. Hivi sasa ni zaidi ya miezi mitatu wananchi wa America wapo Wall street wakifanya yaleyale waliokuwa wakifanya watu wa mashariki ya kati lakini kila nikiangalia vyombo vyetu vya habari kama vila maTV's havionyeshi. Vyombo vya magharibi havionyeshi kama kawaida yao ila ukibahatika kuangalia PressTV ya Iran ndo wanachokitangaza kila mara na nadhani ni kwa sababu ya uhasimu wao na marekani,

swali langu, Je kinachofanya vyombo vyetu visiripoti matukio ya Wall street ni kuwa vyombo vyetu ni photocopy ya vyombo vya magharibi au ni uelewa mdogo wa manahabari wetu.
 
Back
Top Bottom