Rain drops (matone ya mvua) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rain drops (matone ya mvua)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papa Mopao, Dec 21, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Nimegundua kwamba, rain drops za mvua ikiwa ni kubwa mara nyingi huwa inaleta maafa makubwa sana baadhi maeneo kwa sababu inakusanya maji mengi kwa haraka na kwa muda mfupi ndipo hutokea mafuriko makubwa kama hivi hii ya Dar sijui sehemu zingine (mikoa mingine).

  Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole waliokumbwa na maafa na mungu awape nguvu!
   
 2. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  tatizo sio ukubwa wa rain drop. ishu ni time it take to rain.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Eti rain drops za mvua! Kwa kwa kwa kwa kwa
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ishu ni time? muda mfupi tu mafuriko ya namna hiyo? kwani mvua ilinyesha muda gani?
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kwani kuna ajabu kwenye lugha?
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Daaah!! Mhhh!!.
   
 7. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  nimesoma hapoooooooo!!! nimesomaaaa hasa hapo penye red, nimesomaa ila!!!!!!!!!!!!
  bora niwape pole wanaDSM KWA MAFURIKO ILA WALIO JENGA MABONDENI WAHAME.
  HII iwe ni mara ya mwisho kuishi maeneo hayo
   
Loading...