Waislamu waapa kuendelea na maandamano kesho kutwa licha ya mafuriko

Status
Not open for further replies.

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Wamesema kwa Dar yataelekea ofisi ya waziri mkuu mikoani yataelekea kwa wakuu wa mikoa. source redio clouds
 
Ni haki yao kuandamana na polisi ni haki yao kuwapiga virugu,mabomu ya machozi na risasi za moto kama watalazimisha maandamano
 
wamemgomea yule shehe mkuu wa darisalama aliyewaambia waislamu wasiandamane?
 
Kwa hali iliyopo sasa hivi maandamano hayo yaahirishwe..haitakuwa vizuri hata kidogo na wala hayataweza kushuhudiwa na wananchi wengi...Tuzike kwanza ndugu zetu kisha mengineyo yatafuata...
 
Wanaponifurahisha Waislamu ni hapo tuu.
Wakiamua kufanya maandamano, huwa hawaogopi kitu.
Waitishe na maandamano ya kuiondoa Serikali hii inayosababisha dhiki kila kukicha.
 
Kuna kitu wanadai hawa ndugu au wana maandamano ya kuunga mkono JK kuweka saini ile sheria ?
 
Manadamano ya nini?

Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi
 
Hawa jamaa sometimes huwa nawashangaa, huwa hawajali masuala ya jamii nyingine inayowazunguka zaidi ya yale yanayowagusa wao, huwezi wakuta wanazungumzia au kuandamana kuhoji serikali kutotoa huduma muhimu kwa wote, this is simply selfishness.
 
Kwa hali iliyopo sasa hivi maandamano hayo yaahirishwe..haitakuwa vizuri hata kidogo na wala hayataweza kushuhudiwa na wananchi wengi...Tuzike kwanza ndugu zetu kisha mengineyo yatafuata...
Mkuu umetua lini bongo kusupport haya maandamano ? au unalipulizia livuvuzela hukohuko Canada?
 
Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi

kwani tunatibiwa bure? Na hiyo pesa tunayotoa kupata huduma huwa inarudi serikalini?
 
Humu JF CHADEMA kuandamana halali ila Waislam kuandamana kwa maslahi yetu ni haramu eeeh? Hii inanipa rangi halisi ya JF na CHADEMA!
 
Na warudishe serikalini kile Chuo Kikuu walichopewa,
Na watoe tamko kabisa kutokwenda kwenye mahospitali ya kikristo wala shule zao,
 
Humu JF CHADEMA kuandamana halali ila Waislam kuandamana kwa maslahi yetu ni haramu eeeh? Hii inanipa rangi halisi ya JF na CHADEMA!
Kwani CDM wakiandamana wanadai maslahi ya imani ipi, nafikiri ungeeleweka vizuri kama ulingesema waislamu wanaandamana kama ambavyo wakristo huwa wanaandamana, CDM wanalinganishwa na CCM na vyama vingine sio waislam.
 
humu jf chadema kuandamana halali ila waislam kuandamana kwa maslahi yetu ni haramu eeeh? Hii inanipa rangi halisi ya jf na chadema!
kwanza cijakuelewa hapo maandamano ya waislamu na chadema wanahusianaje mkubwa???? Nlidhani ungesema wakristo ladba kuna uhusiano na tukio pia acha ushamba angalia sababu zinazo fanya chadema waandamane halafu tizama na sababu inayo wafanya wana wa mtume muandamane.
 
chadema=KANISA.
 
Ya kupinga MOU Kati ya taasisi za mashirika ya dini shule na hospitali kupata fedha kutoka serikalini kwani hospitali hizo ni za makanisa as if wao hawatibiwi huko. Na pili ni kutaka kuundwa kwa mahakama ya kadhi

Hii ni ya kuangalia upya!
 
jamani waislam hamna wasomi hata wakuwasaidia??? hebu acheni hizo bana mnakuwa kama mbayuwayu! vipi nyie mnaboa ala!1
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom