CWT,walimu ndani ya mgomo wa kudumu,hakuna wa kuzuia

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Katika kile ambacho imeonekana wazi kua serikali imeshindwa kua makini,walimu wote nchi nzima wataingia katika mgomo wa kudumu,Sababu ya msingi ni baada ya serikali kuonekana inataka kuwachezea akili katika ,makubaliano ya cwt na serikali juu ya madai ya walimu kua yataliwa mwezi november na dec ila serikali imeshindwa kwani katika payrall ya mwezi huu malipo hayo hayakupelekwa na h hivyo dhamira ya kugoma imepewa kibari na serikali na katika hilo lawaama zote ni kwa waziri alitangaza kua watalipwa hivyo walimu hawatafungua shule mpaka hapo madai yao yatakapoafanyiwa kazi na kaitika hilo cwt imekataa kufanya upya na serikaliivyo
 
habari nzito hii,chanzo tafadhali? but will be good for teachers kila mara wanapigwa mchanga wa macho!tz ualimu inaonekana kuwa kazi duni sana ya kubezwa while its not!
 
Waache ualimu wawe wabunge kwani hao ndio wanaothaminiwa na chama cha magamba!! Bunge itabidi liongezwe ukubwa.!!!!!!!!!!!!!
 
Si walimu tu, umefuatilia hawa wanazi wa serikali police, magereza na jwtz?
 
Tumeshawachoka walimu na mikwara yenu, kila siku "tutagoma, tutagoma" kugoma hamgomi ila kelele tu! Sijui ni nani aliyewafundisha kuwa waoga? Matatizo yenu yanaeleweka kila kona, mna suport kutoka kila upande bt yet hamgomi, mnabip tu! Na mtakufa maskini kwa ajili ya uoga wa kudai haki yenu!! Shame on you teachers.
 
Katika kile ambacho imeonekana wazi kua serikali imeshindwa kua makini,walimu wote nchi nzima wataingia katika mgomo wa kudumu,Sababu ya msingi ni baada ya serikali kuonekana inataka kuwachezea akili katika ,makubaliano ya cwt na serikali juu ya madai ya walimu kua yataliwa mwezi november na dec ila serikali imeshindwa kwani katika payrall ya mwezi huu malipo hayo hayakupelekwa na h hivyo dhamira ya kugoma imepewa kibari na serikali na katika hilo lawaama zote ni kwa waziri alitangaza kua watalipwa hivyo walimu hawatafungua shule mpaka hapo madai yao yatakapoafanyiwa kazi na kaitika hilo cwt imekataa kufanya upya na serikaliivyo

Waalimu wa Tanzania waoga utadhani ajira wamepewa kwa kupendelewa, wanakera sana hawa binadamu wana madai ya tangu 2004 hivi hawa ni binadamu wa kawaida hawa?????? mimi wananikera sana, kuna mdogo wangu mwalimu na kila mwaka wa uchaguzi utamsikia anasema "wapinzani tumewashughulikia kwa kuchakachua matokeo, nini hiiiiiiiii???????????????????? acha wadhurumiwe hawana maaana" kugoma hawawezi waoga sana hao
 
Hongera mwalimu KASHINDYE wa CDM wewe umeondokana na aibu ya kuonekana muoga, wewe umethubutu, umeweza na sasa unasonga mbele na CDM.pepooooooooooz.
 
Waache ualimu wawe wabunge kwani hao ndio wanaothaminiwa na chama cha magamba!! Bunge itabidi liongezwe ukubwa.!!!!!!!!!!!!!
Hata Baba wa Taifa alifanya uamuzi wa busara kujiuzuru ualimu na kuingia kwenye siasa na ikalipa!
 
Katika kile ambacho imeonekana wazi kua serikali imeshindwa kua makini,walimu wote nchi nzima wataingia katika mgomo wa kudumu,Sababu ya msingi ni baada ya serikali kuonekana inataka kuwachezea akili katika ,makubaliano ya cwt na serikali juu ya madai ya walimu kua yataliwa mwezi november na dec ila serikali imeshindwa kwani katika payrall ya mwezi huu malipo hayo hayakupelekwa na h hivyo dhamira ya kugoma imepewa kibari na serikali na katika hilo lawaama zote ni kwa waziri alitangaza kua watalipwa hivyo walimu hawatafungua shule mpaka hapo madai yao yatakapoafanyiwa kazi na kaitika hilo cwt imekataa kufanya upya na serikaliivyo

Walimu mmeishatiwa vitanzi vya kudumu kwenye mabenki na taasisi za fedha; mmekopa na mlipaji wenu ni Serikali ndo maana inawalingia hivyo. Na mkumbuke kuwa wengi wenu ni waoga sana ikitokea mkapewa taarifa kuwa polisi wanawasaka mitaani mnakimbilia vichochoroni.
Si kwamba siungi mkono mgomo wenu walimu ila nyie ni waoga mno.
 
Waalimu wa Tanzania waoga utadhani ajira wamepewa kwa kupendelewa, wanakera sana hawa binadamu wana madai ya tangu 2004 hivi hawa ni binadamu wa kawaida hawa?????? mimi wananikera sana, kuna mdogo wangu mwalimu na kila mwaka wa uchaguzi utamsikia anasema "wapinzani tumewashughulikia kwa kuchakachua matokeo, nini hiiiiiiiii???????????????????? acha wadhurumiwe hawana maaana" kugoma hawawezi waoga sana hao

Nimekukubali .. . . . nchi hii iko kwenye matatizo maskubwa kwa sababu ya viumbe waoga - walimu.

Sijui wana mapungufu katika kufanya maamuzi au kuna vitu fulani wanalishwa huko vyuoni? Majuzi nilikuwa naongea na dogo mmoja mwalimu - anaongea pumba tupu - nikamuuliza hivi "ndo pumba hizi ulijazwa kichwani kuwamwagia watoto wetu?
WALIMU MNAKERA SANA! AU HAMNA KUMBUKUMBU ZA MATUKIO YA SIKU ZA NYUMA,
RAIS WENU WA CHAMA CHA WALIMU ALIWAHI KUDUNDWA MKAKAA KIMYA,
AU KUNA KINACHOWAFANYA MSIFUATILIE HAKI ZENU?
 
Mgomo ulianza longtime, wewe husahangai darasa la saba kufaulu huku hawajui kusoma na kuandika??

Walimu walikuwa tu wanajaribu kuionesha serikali dalili ya mvua sasa tungoje mvua yenyewe
 
Back
Top Bottom