Hivi mamlaka ya hali ya hewa wanaweza kutabili mvua siku ngapi kabla ya mvua kunyesha??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mamlaka ya hali ya hewa wanaweza kutabili mvua siku ngapi kabla ya mvua kunyesha???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jitihada, Dec 22, 2011.

 1. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello GT,, nianze kwa kutoa pole kwa watanzania wote walioathirika na haya mafuriko ya hapa tz,, Leo naombeni kujua ndugu zangu ktk suala zima la utabili wa mvua kwamba hivi mamlaka ya hali ya hewa wana uwezo wa kutabili mvua siku ngapi kabla ya mvua kunyesha,, nauliza swala hili 7bu kama kweli kulikuwa na uwezekano wa kuitabili hii mvua hata mwezi mmoja kabla ,ni kwanini wasingetoa taarifa mapema ili watu wakaweza kuchukua hatua mwezi mmoja kabla kuliko hii ya kujuzana siku moja kabla,, naombeni ufafanuzi wa hili jaman,,
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Best unafatilia habar? Since oct walitangaza, na kuhamasisha watu kuama mabonden, hata jana walohojiwa walikir kupewa taarifa, ni hayo tu
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kutabili= Kutabiri.
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  ckubaliani na wewe, walitahadharisha tangu zamani, kama ckosei mwezi wa kumi au watisa, walisema mikoa ya pwani na kanda ya ziwa wajihadhari na mafuriko kwa mvua ctakazoanza mwishoni mwa mwaka. jamani sio kira kitu kuwa negative tu. utambue vifaa wa nanyotumia ni duni, ukiachana na hako ka rada walikununuliwa
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  dah nashukuru kumbe na ww ulisikia
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Wanaweza kutababiri masaa 24 baada ya mvua kunyesha.
   
 7. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sikio la kufa halisikii dawa daima dumu... poleni sana wahanga wa mafuriko
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nawasifu sana watu wa Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) kwa kuonyesha umahiri wa kazi yenu, japokuwa watu ni naturally wabishi!
  Cha msingi serikali itekeleze mapendekezo yaliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu wa CDM kwenye janga hili, kwa kuweka Early Warning Systems ili kuwezesha kudhibiti athari za majanga ya asili
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwa hili la watu kuathirika na mafuriko hawa jamaa hawahusiki kabisa!

  Sasa ndio tunavuna kutojali kwetu na uzembe wetu!
   
Loading...