Chadema mko wapi au ndo walewale?

Kilahunja

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
1,502
341
Wakat wa kampen ya uchaguz, si chadema wala ccm, wote walitumia kila njia kuonyesha mabavu, walitumia helikopta kuomba kura, na iman sio lazima mpaka chadema iwe madarakan ndo ichukue hatua, if they real care(chadema) they should show us right now kabla tujawapa utawala by 2015, and if they can do nothing, then hatutawaelewa na wote wataingia ktk kund moja la kutafuta utawala bila kujal maslah ya wananch wao..AM DONE.
 
Kuna hoja hapa, lakini ngoja niishie hapa maana chako ni chako...........................................
 
Labda mafuriko yatokee kwa wachaga, hapo lazma Chadema wajitokeze.
 
Mbona kwenye janga la umeme wakiitisha maandamano hamtaki? Sasa hapa mnawahitaji wa nini? Swala la Janga linashughulikiwa na serikali na wala sio chama chochote kile. Uliona nchi gani chama cha upinzani kinashughulikia majanga?

Itatuchukua miaka mingine 50 kuleta mapadiliko Tanzania kama huo ndo mtazamo wako.

Acha maneno mbofumbofu ww, alokataa maandamano nani? Nasisitiza, wao ni kama wengne tu, kama kwel wanatupenda watatulinda, m out.
 
Mbona kwenye janga la umeme wakiitisha maandamano hamtaki? Sasa hapa mnawahitaji wa nini? Swala la Janga linashughulikiwa na serikali na wala sio chama chochote kile. Uliona nchi gani chama cha upinzani kinashughulikia majanga?

Itatuchukua miaka mingine 50 kuleta mapadiliko Tanzania kama huo ndo mtazamo wako.

p.u.m.b.a.v.u ww!?
 
Wakat wa kampen ya uchaguz, si chadema wala ccm, wote walitumia kila njia kuonyesha mabavu, walitumia helikopta kuomba kura, na iman sio lazima mpaka chadema iwe madarakan ndo ichukue hatua, if they real care(chadema) they should show us right now kabla tujawapa utawala by 2015, and if they can do nothing, then hatutawaelewa na wote wataingia ktk kund moja la kutafuta utawala bila kujal maslah ya wananch wao..AM DONE.
Umesahau Ndesamburo alipotaka kuweka lami Moshi aliambiwa ni kazi ya serikali! shida ipo kwa Gamba's wanaogopa CDM kitajipatia umaarufu kupitia matatizo ya wananchi wanayoweza kuyatatua, ila mkono wa heri huo lazima upo..
 
Mkuu hiyo akili ndo huwa unaitumia katika kuendesha mambo ya familia yako au unayo nyingine umeiweka pembeni?!
 
Hebu acheni kukurupuka, helkopta zinakodishwa kwa ruzuku zinazotolewa kwenye chama kwa ajili ya uchaguzi.
Ni sawa na kuwalalamikia washiriki wa mashindano ya magari eti kwa nini wanatumia magari yao kwenye mashindano tu na sio kwenye kutatua tatizo la kutembea umbali mrefu kwa kukosa usafiri lililopo ktk baadhi ya vijiji.
 
Haya ni mawazo ya ubongo wa kitoto kabisa kufananisha Chama Cha Siasa na RED CROSS. Kama akili yako ndio hii si ajabu serikali ikitumia kodi zetu kupitia Taasisi ya Urais kuwapa haki yao ya msaada waathirika, wewe na wenzio wenye akili za hivi mtaona kuwa ni CCM kupitia Mgombea wake Kikwete imewasaidia Wahanga ktk janga linalowakabili.

Weka akilini kuwa, CDM (au chama kingine chochote kile cha siasa) hakimiliki hazina ya nchi. Helikopta ulizoziona wkt wa uchaguzi ni bajeti ambayo serikali yenyewe inatoa kwa hivyo vyama vya ajili ya kampeni. Hata kuilaumu CCM ni ujinga pia, tena uliotukuka. Ya kulaumiwa ktk hili ni SERIKALI YA CCM na sio CCM au CDM kama chama.

Kwa akili finyu za namna hii, serikali ikitoa msaada wa chakula kwa wenye njaa (ambayo ni haki ya raia toka kwa serikali yao) watu wenye ufinyu wa akili kama muanzisha mada wataanza kuisifia CCM kwa kuwa udogo wa mawazo hauwapi nafasi ya kujua kuwa hicho chakula ni cha SERIKALI na sio chama.
 
Bado wafanye jambo lakuonyesha msaada wao kwetu..siwaoni kimyaaa kabisaa.
 
Back
Top Bottom