Mkuu wa mkoa wa Dar vipi?

nimemsikiliza uyu jamaa..co mtaalam ila ni mwanasiasa kama lowasa..huyu jamaa ni panzi..anaongea upupu
You are right eti helicopta za polisi ni za kutoa taarifa tu na sio kuokoa kwa kuwa sio special kwa uokoaji this is crazy. Haya ni mambo ya mukulu kuchagua friends wake kwenye position zinazihitaji watu wenye taaluma.
 
You are right eti helicopta za polisi ni za kutoa btaarifa tu na sio kuokoa kwa kuwa sio special kwa uokozi this is crazy.

Kwa mfano watu waliokwama kwenye paa za nyumba zao wanahitaji taarifa au wanahitaji chombo cha kuwafikisha sehemu kavu? Au hizi taarifa za helicopta zinamfanya mtu ghafla ajikute yuko sehemu kavu? Huyu mkuu wa mkoa kapatwa na ugonjwa gani?
 
Wekeni wakuu wenu kama hamridhiki na alichoongea.Yeye ndo kasema ukweli mlikuwa mnataka aseme uongo kumridhisha nani?
 
Inabidi hawa wakuu wa mikoa wawe wanapigiwa kura nao, but wait, hata hao wabunge wa kupigiwa kura hawafanyi lolote.

Tumekwisha.
 
Af kuhusu helicopta, kipindi cha kampeni zinakuwa nyingi na sasa hivi inayotumika kuokoa ni moja tu. Hivyo vyama haviwezi kujitolea hz helicopta zao kwa ajili ya uokozi au na zenyewe ni special kwa ajili ya kampeni tu?!
 
sasa hapa mnachomlaumu mkuu wa mkoa nini...asemeje??wakati hizo helicopta sio za uokoaji???acheni maneno ya vichochoroni nchi yenu haijajiandaa na maafa kama haya....na yanakuja nw vibaya sana..huyo hana lawama banaa.mlitaka aseme msiwe na wasiwasi tutawakoa tu wakati ni uwongo...sorry wadanganyika amewaambia ukweli.
 
Mh huyu mzee msameeni bure. He is right. unajua mambo ya uokoaji bila vifaa ni issue ngumu. na kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru jeshi la polisi kitengo cha uokoaji na JWTZ marine sikuona show zao kipindi kile kila wizara inajiuza kwa jinsi ilivyothubutu, ikaweza na sasa inasonga mbele. mnakumbuka ile ya MV Bukoba na ya juzi Spice Islander, walikuja wazamiaji wa kwa Zuma lakini wakasema meli iko mbali sana hawawezi kuzama na kutoa maiti.Nchi yetu hajawa tayari kwa uokoaji. ILA TZ NI HODARI SANA KUZIKA WATU KWENYE MAAFA. MV BUKOBA ZAIDI YA 1000 WALIZIKWA KWENYE MELI, JUZI ZENJI ZAIDI YA BUKU MBILI. Sijui ndo kafara na 2015??? Sheikh Yahya hayupo labda angetupa majibu
 
Inabidi hawa wakuu wa mikoa wawe wanapigiwa kura nao, but wait, hata hao wabunge wa kupigiwa kura hawafanyi lolote.

Tumekwisha.
P%2B3.jpg

 
Inabidi hawa wakuu wa mikoa wawe wanapigiwa kura nao, but wait, hata hao wabunge wa kupigiwa kura hawafanyi lolote.

Tumekwisha.
tutamaliza pesa, hao tunaowapigia kura ndio hovyo kabisa:lol:
 
Slaa, Mbowe, Lema hata wakizuga wafuasi wao wakale marungu wao wanasifiwa tu.

we dada wee, hujaona bifu against slaa, mbowe na lema humu jamvini, tena na wewe ndio mkata viuno nambari wani?? aisee
 
Kama aliyemteua ni kilaza unategemea yeye asiwe kilaza? Kimsingi, wakuu wetu wengi wa mikoa si wakuu wa mikoa bali maswahiba wa Kikwete na mashoga za mkewe. Je wananchi waliomchagua kilaza wao si vilaza? Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom