Anaeamini kuwa serikali haipaswi kulaumiwa juu ya mafuriko... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaeamini kuwa serikali haipaswi kulaumiwa juu ya mafuriko...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoboasiri, Dec 22, 2011.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...ina maana anataka kuniambia kuwa ni kosa la waathirika (na sio wahanga maana kuwaita "wahanga" ina maana walijitolea wao wenywewe kupata hayo maafa) wenyewe. Kama ndivyo hivyo, kwa nini serikali hii hii izuie kwa nguvu maandamano kwa "kulinda usalama wa mali na raia" na isiwahamishe kwenye mabonde waliojenga humo ikichukuliwa kuwa serikali ndio yenye means za ku-forecast possible occurrences?
  Naomba ieleweke kuwa sisemi kuwa waathirika hawana kosa na hawajawahi kuambiwa wahame mabondeni, lakini je, ukimuona mtoto mdogo anachezea bomu utamwambia kwa upole aache au utatumia nguvu kumuepusha na hatari?
   
Loading...