Kwa hili clouds fm wanastahili pongezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili clouds fm wanastahili pongezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jayfour_King, Dec 21, 2011.

 1. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia habari kupitia redio baada ya umeme kutokuwepo muda mrefu na hivyo kushindwa kufuatilia matukio kupitia TV, redio clouds wamejitahidi sana kwani kuanzia kipindi chao kile cha asubuhi wamefanya coverage nzuri sana kuhusu yaliyojiri kufuatia mafuriko.
  Sikuona uzuri wa media za serikali kuhusu hili, kulikoni?
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii hii Clouds ambayo huwa mnaiponda kuwa imejaa wafanyakazi mashoga? Leo imekuwa redio ya kusifiwa na kupewa pongezi! Kweli ya Mungu mengi.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  TRUE ! MWITA, mnyonge mnyongeni haki y... . Asemavyo mtoa thread ni sawa kabisa! Tena kwa mie nilie Mwanza Tbc ndiyo haikuepo kabisa!
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pongez kwa chanel ten na 5,
  pongez kwa jf
   
 5. M

  Mary Glory Senior Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  binafsi naipongeza sana clouds kwa katoa taarifa za mafuriko leo.wametusaidia sana kujua tupite wapi na wapi tusipite.mnastahili pongezi kwa kazi nzur.big up watangazaji wooote wa clauds.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Bg up wanajf
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Vp kuhusu TBC1? kwani tangu baada ya ile ajali ya Zanzibar, nilishaifuta kwenye channel list za TV yangu.
   
 8. k

  kabindi JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zipo radio nyingine pia zilikuwa zinachukua coverage sema kwa kuwa ulikuwa unasikiliza clouds fm. But tunashukuru vyombo vyote vya habari kwa kufuatilia matukio na kuwafahamisha wananchi!
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Ushoga ni tabia na kuripoti ni wajibu.Wametimiza wajibu
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata Iddi Amini likuwa na mazuri yake pia, ingawa ubaya wake ndo ulikuwa mkubwa kuliko mema. Kwa mema lazima aongelewe
   
 11. g

  goodlucksanga Senior Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha hizo au huwa unawanani hiii, redio kibao zimeripoti acha upambe wa kimbwiga huo....!!
   
 12. K

  Kwitukutila Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Big up EATV coverage yenu nimeikubali, mmetupa update za kutosha sana. Kwa mujibu wa Dr. Kijazi bado kesho tumuombe Mungu atuepushilie mbali yasitokee makubwa kama ya leo.
   
 13. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Busara ya wakati ni bora kuliko busara ya mazoea (Hata kwetu wapo).
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wamenikosha sana...
   
 15. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nimepata habari za kuelewek toka EATV & ITV ..pongezi zao
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Ntasoma kesho kwenye magazeti!
   
 17. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hainaga majotroooooo
   
 18. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hainaga majotroooooo
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  TBC taifa nao walikuwa live siku nzima wakijuza yaliyojiri kila kona akiwemo swedi mwinyi na wengineo
  mm nipo uswazi nimewapata vema kupitia mtandao tuwape nao hongera sio clouds pekee na EATV kama mlivosema walitoa updates
   
 20. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Clouds in bomba sana. Tatizo imejikita zaidi pale magogoni na magamba yao. imeipiku mpaka Redio Uhuru ambayo ni Magamba kwa 1556%
   
Loading...