NMB imepoteza mwelekeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NMB imepoteza mwelekeo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by johnmashilatu, Dec 20, 2011.

 1. j

  johnmashilatu JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Kuna baadhi ya watu hudai kuwa benki ya NMB ni benki ya makabwela. kwa mtazamo wangu kabwela ni mtu mwenye kipato cha chini, hivyo benki hii iko kwa ajili ya watu wa kipato cha chini

  Hata hivyo haina maana kuwa wanaotaka hivyo wako sahihi isipokuwa kadri siku zinavyokwenda nafikiri mara mbili juu ya huduma zinazotolew ana benkii hiyo inayobebwa na serikal kwa kuwalazimisha watumishi wake walimu kupitisha mishahara yao humo.

  Benki yenye usumbufu mkubwa wa kupanga foleni ndefu na kulazimika kusitisha shughjuli nyingi za uzalishaji mali imekuja na "wizi" mpya.

  Kwamba ukitaka kuweka fedha katika akaunti ya ya mtu au taaisis nyingine huna budi kula ada! yaani kjuweka fedha katika akaunti ya mtu mwingine huna budi kulipia shilingi elfu moja!, kazi kwelikweli.

  kwa mtazamo wangu jambo hili sio sahihi, litawaumiza wengi na wengi zaidi watarejea kule tuliko toka, kuanzisha benki binafsi isyokuwa na makato ya lazima kiasi hicho. kwanza hata hizo fedha zenyewe za kuweka benki hazipatikani, kwnaini kuendelea na mfumo huu wa kibenki wa kinyonyaji

  nawasilisha
   
 2. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni moja ya Benki zenye faida sana kwani pesa nyingi ya serikali inapita hapo. Inaongoza kwa wizi toka kwa wafanyakazi wao Wa IT department. mmoja mwezi uliopita amekosa kuuwawa na ma racketieering mafias. Dogo maisha yake yalibadilika ghafla mara akaingiliwa na majambazi nadhani bado yupo ICU. Pole sana DM
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbaya zaidi ni pale unapoenda kwaajili ya kutoa au kuweka kwa kupitia kaunta kwanza foleni unakutana nayo mlangoni afu ukiangalia bank taller zipo kama 5 kwa benki zao nyingi ila zinazofanya kazi unuta ni 2 mara nyingi, nikashindwa kuelewa wanavyoanzisha huduma kama hiyo ya kuchaji watu elfu moja kuweka kwenye akaunt ambayo siyo yako alafu bado unashindwa kuajiri watu wa kuwhudumia kwa wakati tuwaelewe je na hili tatizo ni la branch zao zote even makao makuu yao
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukija kwenye kufuatilia ATM card ni tatizo lisilokuwa na suluhisho ukiwakilisha tatizo utaambiwa njoo baada ya mwezi ukienda utaambiwa jaza tena fom ukae mwezi, baada ya hapo utaambiwa nenda kwenye branch uliyofungulia kama tatizo ni hilo kwanini wasikuambie tangia mwanzo? Mimi yalinikuta ikanilazimu sasa nihamie Bank nyingine ambayo ina unafu. Nimekuwa na wasiwasi na mameneja na wafanyakazi wote kwa ujumla juu ya elimu yao kwani kwa mambo wanayofanya hayaendani na mtu mwenye elimu anayejua maana ya muda ni nini
   
 5. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  pole sana.. Kwa hiyo ukahamia BOA au BOI? Au ipi Shine..
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimejaribu kufungua account bila mafanikio,yaani kila nikienda naambiwa mara barua haijitoshelezi,mara umekuja late sana,mara katoe copy vitambulisho.yaani masharti meengi ambayo hayajaambatanishwa kwenye zile fomu zao za mkataba.sijui walihisi nataka kuwakopa?aaaaghrr!
   
Loading...