Foleni ya kufa mtu maeneo ya Mlandizi na Vigwaza (RUVU) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foleni ya kufa mtu maeneo ya Mlandizi na Vigwaza (RUVU)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Micro E coli, Dec 24, 2011.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakuu kuna foleni ya kufa mtu hapa kati ya mlandizi na vigwaza toka saa 4pm jana gari haziendi mabasi ya mkoani yamekwama sisiwa Mwanza,KAHAMA ndio kero kabisa tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.
   
 2. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  hebu tueleze kuna nini??sababu ya foleni ni nini hasa??maana mi ndo nawaza kutoka dar kwenda moro..hebu tujuze mkuu.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Na nyie si mpumzike Dar? Kwani lazima muende huko Moshi aghhh... mnaondoka mnatuacha na nani hapa mjini?? Msitufanyie hivi bana mnatuacha wakiwa sana
   
 4. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wakuu tatizo ni gari lillimeharibika halafu watu wanaokuja dar wakaanzakuja kwa double road wengi ni hawa wa maroli ya mizigo mimi na kwenda usukumani kahama mnakoibiwa dhahabu zenu nyie mkiwa mmetulia dar mnakula shushu mali zinaondoka mtaisha na mafuriko.
   
 5. K

  Kisoma Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamuweziamini wana JF kuwa tupo hapa kwenye jam Vigwaza kuelekea huko Mikoani ni takribani masaa matatu,traffic police kazi imewashinda hadi wanajeshi wameingilia!
  Tumethubutu tumeshindwa inabidi tujipange!
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  dar kuchafu jiji linanuka mavi
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  weka picha hata ya simu
   
Loading...