bosi msumbuf/mtata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bosi msumbuf/mtata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luck, Dec 23, 2011.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 664
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  tupe uzoef wa bosi wako
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Mbona hujatoa uzoefu wako wewe?

  Wa kwangu ni huu. (CEO)

  1. Anafikiri anafahamu kila kitu kumbe ni duanzi
  2. Anapenda misifa wakati ni kilaza wa kutupa
  3. Ana upendeleo wa kufa mtu
  4. Anaingilia kazi -hajui mipaka yake kiasi watu wanamshangaa.
  Huyu niliyemfuata (meneja)
  1. Ana inferiority complex- maana nimemzidi kielimu
  2. Sio mstaarabu kwa ujumla ,kuanzai kuongea hadi kutenda
  3. sio mwaminifu kabisa(mdokozi) ila mimi nampotezea tu.
  4. Anaweza kukupigia simu usiku, au weekend kwa very very trivial things tena ambazo ulishamwambia jana yake
  5. Anafikiri kila anachosema ndio sahihi.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  kumbe tunafanya kazi sehemu moja wewe eeeh!
   
 4. luck

  luck JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 664
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  nimeona nisiwapre-empty.......nitatoa xperience yangu punde!
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa ulipoandika barua ya kuomba kazi ulimalizia kwa........Wako katika ujenzi wa Taifa.........Wako Mtiifu.......na baada ya ajira ukaapishwa kutunza siri za ofisi yako......Inabdi uvumilie tu.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli na changamoto maofisini
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,081
  Trophy Points: 280
  siongei kitu humu lol
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,112
  Likes Received: 2,218
  Trophy Points: 280
  Mie boss wangu fresh kinomaaaaaaa yani yupo pc kishenzi
   
Loading...