Kikwete anapumzika Serengeti kwa kazi gani aliyowafanyia watz?

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Ni jambo la ajabu na la kusikitika rais wetu kuacha wananchi wakihaha na maafa ya mafuriko na kwenda kupumzika serengeti,si pinda wala kikwete waliojitokeza mapema kuwapa watz wenzetu moyo,badala yake leo ndo wanatangaza kuwa rais kakatiza mapumziko au alikimbia mafuriko? Barabara za dar,madaraja infrastructure za umeme zimeharibika,wananchi hawana makazi kwa sababu ya athari za mafuriko,hatuna viongozi wanaojali wananchi,na kuwa nao wakati wa matatizo makubwa kama kipindi hiki,mkuu wa mkoa,wakuu wa wilaya ndo wanahangaika huku huku!
 
Eti anasema ni MAPUMZIKO YA SIKUKUU imagine anafikiriaje? hivi haya mapumziko hayawagusi wengine? mbona watz wote tuko makazini yeye ambaye tunataraji kumwona km mfano hata hana habari....anaenda zake kupumzikaaaaaaaaaaaaaa
Dah kaaaazi tunayo jamani
 
Hata kama mapumziko, sio lazima akatishe, angechukua chopper aje kuwapa wananchi moyo tu. Hizi ni leadership skills tunajifunza vyuoni hata sekondari ukiwa kama monitor. Ni hatari sana leo naambiwa pm katoka congo kwenye uwapisho, ametua straight kijijini kwa mapumziko.. Jamani, haya mapumziko tunayolipia sisi wananchi..

Hizi topic mimi sizipendi kwasababu zinanitia hasira tu, naona ni kupungukiwa na mawazo ukitoa tamko la rambirambi alafu ndo useme unaairisha likizo. Usinge tanganza kwa mtu, ondoka ulipo, jitokeze kwa wananchi, waambie leo hafi mtu wala halali mtu njaa. Ingetosha kutupa moyo hata kama watu hawatakuja kutoa msaada, kibinadamu tunaoathirika na ndugu zetu, tungepata moyo tukazane zaidi
 
Hata mimi nashangaa! Labda kwa ile kazi ya kukagua magwaride, na kuteua wale mabalozi waliomwaga kwenye kura za maoni na uchaguzi mkuu.
 
Ni bora Serengeti kuliko kukimbilia Nje ya nchi kama kwaida yake...
 
Labda anapumzikia kwa ile speech aliyotoa ndefu uwanjani wakati wa miaka hamsini ya uhuru au ile ya kuweka mawaziri wagonjwa wanaishi nnje nusu mwaka, au labda ya kutoweka agenda vikao vyao vya chama-maana kuna jamaa ananiambia mara ya mwisho baada ya eddy kuongea, jamaa akafunga kikao bila agenda zozote za mwakani.hahaha. Kaka .... Mwambie mzee, mtaani kishanuka.inauma sana jamani
 
Kikwete kupumziaka Serengeti ni haki yake kwa kazi alizozifanya.
1. Kusaini mikataba ya kipumbavu na ya kifisadi
2. Kuwaibia Kodi watanzania
3. Kuchagua washikaji zake kwenye Tume za ulaji ( Kitu kidogo itaundwa tume)
4. Kupaisha Uchumi wa nchi na kupandisha thamani ya $ nyie mnaotumia Shs kalagabaho shauri yenu. Akienda kuomba anapewa $.
5. Kumbua yule Mwarabu aliyemuhonga suti ndio mwenye hiyo hotel, msipige kelele je kama amehongwa chumba na mwarabu
6. Amekupeni Maisha Bora, mfano Bei ya Sukari na Mafuta imepanda mara dufu
7. Ameenda kumpimzika na hataki kusikia Kelele za maandamano ya Chadema
8. UDSM wamemzomea mbele ya Jambazi mwenzake m7
9. hataki kusikia kelele zenu kila kukicha fisadi fisadi
10. Kupandisha bei ya Umeme
11. Ameongea na Mungu kuleta mvua, kumbukeni mlikuwa mnalala giza. (Mtera ilikauka kama sio yeye kuongea na Mungu ngeleja
angekuwa anawaumizeni bado

mengine jazieni huko chini
 
12. Kuteua viongozi kila kukicha
13. Kusafiri safiri
 
Kama mfanyakazi yeyote bila kujali utendaji wake ana haki ya kupumzika.
Ana haki aje? Kwani Tz yupo yeye pekee anayestahili kupumzika? Mbona hata sisi ni watumishi ila hatujaenda kwa mapumziko ya sikukuuuu?
Au ndo UNAJIKOMBA UJIKOMBOE????!!!! kama ID yako? Bila shaka we ni Kagamba.
 
President-Kikwete-of-Tanzania.jpg

Jamaa ana-injoi eeeh?
Pole na kazi nzito mwaka mzima wastahili mapumziko!
 
Kama mfanyakazi yeyote bila kujali utendaji wake ana haki ya kupumzika.

Amepumzika au amepumzishwa na Mwarabu aliyemuhonga Suti, Mimi siami kuwa ameenda kupumzika huko. Ameenda kusaini mkataba mwengine wa kipumbavu. Ipo siku mtasikia kuwa yule Mwarabu wa Suti amemuhonga tena Kikwete Chumba huko Serengeti
 
President-Kikwete-of-Tanzania.jpg

Jamaa ana-injoi eeeh?
Pole na kazi nzito mwaka mzima wastahili mapumziko!

Mwizi tu huyu hana lolote Kazi kuiba Kodi zetu. Msishangae kusikia hata Shati atakuwa amehongwa na mwenye Hotel, mwarabu wa suti
 
Back
Top Bottom