Muleba: Waislam Wilayani hapa watofautiana kuhusu MOU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muleba: Waislam Wilayani hapa watofautiana kuhusu MOU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Halfcaste, Dec 23, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Baadhi ya Waumini wa dini ya Ki-islam wamepokea wameshindwa kuelewa kuhusu maandamano ya kupinga MUO,wengi wao wakisisitiza kuwa hawaoni sababu za kupinga MOU.Muleba inazohospital kubwa za misheni(mission) zipatazo tatu ambazo ziliingia mkataba na serikali ili kusaidia katka kutoa huduma ya afya na elimu ya uuguzi kwa wananchi wote.Hospital hizo ni Rubya(catholic),Kagondo(catholic) na Ndolage(KKKT).Ambapo hospital hizi zinapata madaktari Ulaya.
  Kwa mtu anaetokea mkoani Kagera anajua vizuri hospitali hizi na huduma zake.

  Nikiwa likizoni huku,nilimskia mmoja wa waumini wa kiislam akisifia jinsi wavyonufaika na huduma za hospital hizi,nakusema kuwa mwanae wa kike amesoma nursing certificate,baadae diploma katka chuo cha Rubya hospital na sasa ameajiriwa serikalini.
  Aliendelea kusiitiza kuwa kama "sisi hatujengi zetu tunabaki kulaumulaumu tu".
  Nawasilisha.
   
 2. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ngoja Ms, Topical na FF waione hii. Sio huko Kagera tu, woote wanaounga mkono maandamano haya ni wale wanaoishi huku Buguruni, hawajui yanayojiri huko vijijini. Ukifika kwenye play grounds za parish za makanisa ya kikatoliki utashangaa kukuta jumuiko la watoto wa makabila na madhehebu yote wakichezea bembea na mipira kwa furaha huku ndugu zao wa Buguruni DSM wakiandamana kupinga watu kupatiwa huduma na watoto kufurahi pamoja.

  Naunga mkono
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,395
  Likes Received: 3,720
  Trophy Points: 280
  Peramiho, Litembo, Lituhi, Ndanda, Mbesa, Liuli, Mango, Mbozi etc hawatagoma
   
 4. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hata hapa Tegeta Mission hatutagoma
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  waislamu wa milama,bulembo pale kamachumu wanafurahia huduma ya ndolage hospital bila kusaau maeneo ya buganguzi wafurahia huduma ya rubya..hizo pumba wanaziendekeza waislamu wa kariakoo na bagamoyo.
   
 6. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Nami niko likizoni Muleba na nimefurahi kusikia mwanajf niko nae hapa. Naona waislaam wa hapa ni waelewa na sioni vuguvugu lolote kuhusu maandamano hayo.
   
 7. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hivi ukitaka kusaidia lazima uingie mkataba?

  Mkataba ni neno la kisheria. Msingi wa kwanza kabisa wa sheria ya mikataba unasema mkataba shurti uwe na unachopata in return, consideration. Na hivyo, kama kuna kitu unapata in return, basi huo sio msaada.

  Kwa nini tunaambiwa makanisa yanatoa "msaada" wakati kuna "mkataba" unachowapa something in return?
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Kila kitu kinawaonea waislam, Serikali ya Tanzania, Makanisa ya Tanzania, NECTA, HESLB, Serikali ya USA, Nchi za Ulaya, Vibaraka wa USA huko Arabuni, Wachina, JF, BAKWATA, East Africa Community, Russia, Wachina wooooote wanawaonea Waislam....poleni sana Waislam. Hivi mmeshachunguza vizuri kweli kama mungu nae hawaonei?
   
 9. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Waisalamu Rombo, wanaofaidika na hospitali ya (wilaya), Huruma (Catholic) hawataandamana maana wanajua hakuna huduma nyingine kama hiyo wilaya nzima. Hakuna hosp nyingine yenye uwezo wa upasuaji kuokoa akina mama wanajifungua. By the way, hakuna muislamu wa Kilimanjaro anayetambua umuhimu wa hosp ya KCMC (KKKT) atakayeingia barabarani kuandamana...
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Shizukan,

  Maneno mazito sana natamani MS,Topical,FF and Co walisome hili bandiko.Waandaaji wa hayo maandamano walitakiwa kabla hawajaandamana wapitie KCMC na Bugando.


   
 11. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  umekulupuka tatizo sio hilo unalipotosha kaa kimya
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  sasa hadi TIGO na TCRA nao wamejumuishwa.
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hao wanaoandamana hawafahamu umuhumu wa MOU kati ya serikali na makanisa,na niaamin baaz yao wamezaliwa kwenye hospital zilozochini ya MOU
   
 14. Atabase Agaya

  Atabase Agaya Senior Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Well said mkuu; hata wilayani kwangu ni kama ulivyofafanua mkuu. Sijui tatizo liko wapi!:juggle:
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,395
  Likes Received: 3,720
  Trophy Points: 280
  Nina uhakika umeandika hii post ukiwa umelazwa hospitali ya kanisa, na hayo maandishi umejifunzia kuandika katika shule za kanisa, na umevaa mitumba ambayo chanzo chake ni kanisa, umekulia maziwa au bulga toka kanisani... Mwanao au wewe mwenyewe umesoma chekechea ya kanisa, umesafiri kwa gari la kanisa toka kijijini kwenu hadi mjini na ni gari pekee lililowahi kuja kijini kwenu... Etc
   
 16. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mkuu mi avatar yako tu.. lolz
   
 17. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ongeza muheza tanga.DDH teule
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  lazim a tuandamane
   
 19. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  ongeza Mugana DDH, Kashozi
   
 20. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa Peramiho intern wagonjwa kama 20-40% ni Muslim na hapa kuna huduma ambazo zinatolewa bure kwa wakubwa na watoto.
  Watoto kati ya mwaka 0-10yrs Hawalipi dawa wala vipimo vya maabara.
  Wakubwa hawalipi vipimo kama BS, HB, STOOL, URINE NA SUKARI.
  Registration fee ni 1000Tsh.
  Jamani tuseme ukweli wapi utapata huduma kama hizi bure kama hivi. Ultrasound 5000/=, xray 5000/= kwa ujumla hela ambayo inakusanywa na hospitali haitoshi hata kuwalipa wafanyakazi wake na serikali imeamua kuchukua wafanyakazi wake wote iwalipe lakini wako chin ya mishen. Peramiho is the most trusted hospital in southern highlands. Mgonjwa akiangukiwa dawa hospital ya mkoa hanywi mpaka aje ajiulize peramiho. Nafikiri Muslim wafike mahali welewe huduma hizi ni za wote. Cha kushangaza wafanyakazi kibao wapo ambao ni Muslim wapo hapa mfano wapo akina Dr shaban, Dr Mansouri na manesi na wengine kibao. Ingekuwa hospital ya kiislam kama ungeona mkristo hata mmoja. Mfano nenda Agakhan utaona kama wapo wakristo basi wamepigiwa mapande. Nawashukuru wazazi wangu walinilea katika misingi ya kikristo kwenye upendo na wala hakuna kulipana visasi si kama walivyo hawa wenzetu. Jk kila mwaka anasafirisha mahujaji wa kiislam 100 mbona sisi hatusemi.
  Nampongeza shehe mkuu wa Dsm jana TBC alipinga maandamano hayo. Naona ameanza kuelewa kama si kapoozwa na ikulu kwa posho za safari za uarabuni. Nawakilisha
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...