Baraza la Wawakilishi Zanzibar Lashirikiana na Pombe Serengeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la Wawakilishi Zanzibar Lashirikiana na Pombe Serengeti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Duduwasha, Dec 9, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Katika kutizama Sherehe za Uhuru nikakerwa nazo Kujimuvuzisha Star Tv Naona Mechi ya Wabunge ta Muungano na Wale wa Baraza la Wawakilishi Ambayo Imedhaminiwa Kwa Ushirikiano wa Super Doll na Serengeti Lager Sikiamini Imekuwaje hilo Baraza la Wawakilishi lililopinga Udhaini wa Pombe Visiwani na wao Wamekubali udhaminiwa nao na Nishani Wamepokea. Bora Wawape nafasi timu zao zidhaminiwe na Hayo makampuni. Wazenji wanavyopinga utadhania hawatumii kumbe kuna walevi wengi na watumia madawa ya kulevya kibao visiwani Hukumu yao siku ya Kiama sijui ni Nini
   
 2. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bwana pesa! Pesa bwana. Kila mtu ni msaliti, shilingi balaa. Hata kitimoto wangechapa.
   
 3. Z

  Zlatanmasoud Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli ata mm nlishangaa sana wawakilishi kuvalishwa fulana za pombe, itakuwa wanajali matumbo yao tu.
   
 4. M

  Mwera JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika dini ya kiislam watu kama hao wawakilishi waliovaa jezi zinazotangaza pombe nawanakataa kilasiku udhamini wa kampuni zapombe ktk ligiyao hao wanaitwa wanafiki ktk uislam,wametenda dhambi kubwasana kwa mujibu wa kanuni za dini yao ya kiislam.
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Siku ZFA wakiingia mkataba na Serebgeti Breweries ama TBL kudhamini ligi kuu itabidi viongozi hao wa ZFA watafute pa kwenda kulala na sio zenj. Ila wawakilishi kudhaminiwa na pombe RUKSA>Mkuki kwa nguruwe
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Bia sio muchezo !
   
 8. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  En vino veritas! In wine there is truth/wisdom!.
   
 9. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  jamani hawakujua kuwa serengeti larger ni pombe
  sidhani kuwa ni wapumbavu kiasi hicho cha kukana
  masharti ya imani yao.....na misimamo yao
  vinginevyo watuambie wataunga mkono pia ukameruni.
  mi naona walidhani ni serengeti national park.....,
   
 10. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Wawaruhusu na Jamhuri ya Pemba idhaminiwe na Serengeti lager
   
 11. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Wazenji wepi wanaopinga pombe? Hem niwekee sawa hili mkuu
   
Loading...