Siasa Inamfikisha kipind mtu kuwa chizi na mwendawaz... eti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa Inamfikisha kipind mtu kuwa chizi na mwendawaz... eti?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boniface Evarist, Dec 24, 2011.

 1. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Inafika kipind mtu lazima awe chizi. Hapa nataka kuwagusa kidogo wale jamaa hasa katika nchi anayotoka baba Brooklyn ambae ni maarufu kuliko hata viongozi wake.
  Alipoona hana jipya yaani hakuna hata barabara ya vumbi katika nchi yake, akaona raia wanaweza wasimkumbuke kabisa, ndipo akaja na ishu moja ya ajabu sana yaani ya kishenzi, eti "kuanzia leo mashoga wanastahili kupewa haki kama watu wengine, hakuishia hapo halafu na nyie waafrika ole wenu mmoja aje kuniomba msaada kwangu wakati mashoga unawanyima haki zao".
  Mmmh kwa sasa mashoga wanamwita Sir. Unajua ni nani? Pengne umesahau kwa kuwa yapata mwez umeshapta ni David Cameron.
  Daa kiukwel jamaa kaishiwa sera..!

  Mytake: Hivi kama nao watumiaji wa madawa ya kulevya na bangi pia majambaz na wezi wakiamua kuandamana kwa kuomba haki za kazi zao, hivi itakuaje? Maana neno haki, kwa sasa limekosa maana. Na Obama akaongezea badae kidogo. Kwa nini Obama na Cameron hawajatupa mfano wa ku do wao kwanza ili tupate mfano?

  Halafu , wazungu hawaishiwi ukorofi? Ni kwa nini alama ya kiulizo ni ishara ya bara letu yaani afrika? Cheki raman ya Afrika.

  Yap, take zem away, gwala kwa wana hapo ulipo na xmas na mwaka mpya mwema.
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alafu kama tungelikuwa tunapewa msaada na prezidaa wa Jamaica au Columbia akasema mkiwakamata au mkiwanyanyasa tu no misaada. Inakuwaje?
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu hata sina jibu maana siasa inani comfuse sana!
   
Loading...