aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,504
wana Jf hii imeekaaje home kigamboni mdaiwa wa bodi ya mikopo sasa hawa Public Service Recruitment Secretariat wanatuambia lazima barua zetu zipitie posta hivi ni njia sahihi ya kuinua mashirika yaliyokufa as well as kupunguza idadi ya waomba ajira serikali.....ukweli sielewi.......mwenye jazba kama mimi tukutane j3 pale kivukoni coz nakwenda kupeleka physically....