Mahakama ya Kenya V/S Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama ya Kenya V/S Serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mafie PM, Dec 22, 2011.

 1. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nafikiri inafaa ifikie mahali mahakama yetu ya Tanzania kuwa na uwezo wa kutofautiana na Serikali sehemu zingine hasa kwa yale mambo ya msingi Kitaifa na Kimataifa, Mahakama zetu ziige msimamo wa Mahakama ya Kenya kuhusu amri ya ICC kumkamata Al Bashir, siungi sana mkono au kutounga mkono kukamatwa kwake ila ninachojaribu kukiangalia hapa ni Uthubutu wa Mahakama ya Kenya kutofautiana na msimamo wa Serikali yake hadharani.
  Je kwanini na sisi tusiige mfano huo hasa kwa yale mambo ya msingi na yenye maslahi kwa Taifa? Maana mimi naona hapa kwetu kama serikali inai-remote mahakama ifanye kile serikali inachoona kinafaa.
  Mwenye kuniisaidia kwa hili anielimishe kama niko wrong maana siyo mtaalam wa sheria mimi.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  sasaaaa!! Yani kwamba .... Dah, yani mahakama inataka ku-act on the arrest warrant issued by ICC??

  Hii naona haijakaa sawa, labda kama sheria za Kenya zimekaa kimagumashi.
  Hii itakuwa hatari sana hii.

  Anyway, ngoja wenye taaluma zao waje hapa. Mimi niulize kuhusu alternator, gear box, tyre road ends, radiator n.k.
   
 3. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That's why you do have the Executive, Congress and the Judicial system.
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wenye taaluma ya jambo huli limekaaje?
   
Loading...