Daladala usiku zawa guest bubu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daladala usiku zawa guest bubu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Dec 21, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  WAKUTWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA DALADALA STENDI YA POSTA IRINGA

  NI Vigumu kuamini ukisikia na si rahisi kuvumilia ukiona ila ipo methari ya Kiswahili isemayo ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni hali hii imewafanya wakazi wa Manispaa ya Iringa has a madereva Taxi wa kijiwe cha post a kuamini macho Yao baada ya kushuhudua dereva ama kondakta wa Daladala yenye namba za usajili T 968 BSM kukutwa akivunja amri ya 6 ndani ya daladala hiyo na abiria wake .

  Tukio hilo ambalo limenaswa pia na mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima limetokea majira ya Saa 1.35 usiku huu katika eneo la stendi ya post a mjini Iringa.

  Wadaku wa skendo hiyo walimtonywa mwandishi wa mtandao huu baada ya kuona mwenendo wa mwanamke huyo katika daladala hiyo kuonyesha Kung,ang,ania ndani ya daladala hiyo tok a mwanzo wa safari hiyo eneo la Zizi la Ng,ombe na kuzunguka na daladala hiyo hadi Kihesa kilolo bila kushuka na baada na mud a kuwakuta wakivunja amri ya sit a ndani ya daladala hiyo.

  Wapenzi hao ambao walishindwa kupata mud a wa kutafuta sehemu husika na kustarehe walilazimika kutumia siti ya abiria ya nyuma katika daladala hiyo aina zaidi ya kipanya kwa kugeuza kitanda cha muda .

  Baadhi ya madereva wa daladala walizungumza na mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot .com wamedai kuwa daladala nyingi mid a ya jioni baada ya kukusanya fedha za mabosi zimekuwa zikitumika Kama gesti bubu na kutaka askari wa dolia kuzichunguza daladala hizo pindi zikionekana zimeegeshwa barabarani kuwa hula sinsemilla Kama gesti bubu.
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  VIchwa vya malori imezoeleka kutumika kwa ufuska na madereva, hii si Tanzania tu, bali duniani kote kwa waliotembelea nchi mbali mbali kwenye mabara mbalimbali duniani, jambo hilo ni la kusikitisha, lakini ndio hali halisi. Akina mama hasa watu wazima wenye wajukuu katika nchi zilizoendelea ndio waathirika wa kuwapoza madereva kwenye vituo vya kupumzikia ikiwa ndio njia yao ya kujikimu kimaisha.

  Sasa hapa bongo hii ya daladala licha ya kuchuma pesa siku nzima haitoshi, sasa usiku kuwa guest bubu sijui ni kwa ajili ya ujira wa mwiwa?
   
 3. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mmmm hyo kali aisee
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  nn daladala?mbona gari ndogo/private hizi watu ndo zao kila siku?beach,kwenye parkings za baa nk?
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  starehe ni popote pale....
  acha watu wale bata.
   
 6. E

  ELLET Senior Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio Amri ya Sita Ni ya Saba
   
 7. m

  maswitule JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mmenena dhambi ni dhambi haijalishi mmefanyia eneo gani, ukizini ukaonekana mbele ya watu Mungu atahesabu ulizini na hataongeza adhabu kwa kuzini ukaonekana au kupunguza kwa kuzini ukiwa guest au kwenye chumba chako
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watu wanangonoka tu hawamwogopi Mungu? afu kesho yake mtu unapanda daladala na kuikalia hiyo sit ikiwa na magundu yao
   
Loading...