Karume akabidhiwa nishani ya shujaa wa Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karume akabidhiwa nishani ya shujaa wa Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kakke, Dec 24, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Mzee Hassan Nassor Moyo akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume nishani ya Shujaa wa Zanzibar iliyotolewa na Swahili Performing Arts Centre (SPAC) ambapo nishani kama hiyo tayari ameshakabidhiwa Maalim Seif Sharif Hamad kutokana na mchango wa viongozi hao walisimamia maridhiano ya Zanzibar, walioshuhudia makabidhiano hayo Mwenyekiti wa SPAC, Kheri Abdallah Yussuf na Mjumbe wa Bodi, Ismail Jussa
   

  Attached Files:

 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Yes anastahili, aliipiga vizuri sana ile kazi ya ushenga. Sasa CCM na CUF zimeoana yeye amekaa pembeni anakula pensheni huku ndoa aliyoifanikisha ikiwa na furaha kubwa. Ni vizuri wamtumie kama mshauri kama kuna ugomvi wa wanandoa, kwa sisi huku bara hatuna cha zaidi kusema kwani mume na mke wakigombana chukua jembe ukalime. Hongera Mzee Karume, tulia, kula Konyagi zako na ufaidi pensheni yako.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  wanastahili na hili halina ubishi
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Big up KARUME!Ulifanya kazi nzuri.
   
 5. B

  BMT JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  goooooooooooooooooooood,inatia moyo alijtahdi sana chini ya utawala wake
   
 6. k

  kicha JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 503
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 180
  machafuko kwa sasa bas, wengi walipotea kila wakati wa uchaguzi, kilchobaki ni kujenga nchi
   
Loading...