Nukuu muhimu ya Nelson Mandela baada ya kutoka jela 1990

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
'To relax our efforts now would be a mistake which generations to come will not be able to forgive.'

Members naomba tafakari zenu.

Source:Google
 
Yah maneno hayo nimachache but yaliyo jitosheleza Mandela ni kiongozi si mtawala tht why amekuwa na akili za ziada hurre Madiba
 
Yah maneno hayo nimachache but yaliyo jitosheleza Mandela ni kiongozi si mtawala tht why amekuwa na akili za ziada hurre Madiba

Ni kweli Tayseer,maneno ni machache lakini ni komavu.Yanapatikana katika hotuba yake ya kwanza baada ya kutoka jela!
 
Jamani baada ya Nukuu hiyo naomba mnipe na nukuu ya Kikwete ambayo aliongea maneno ya msingi na yenye points.
 
'to relax our efforts now would be a mistake which generations to come will not be able to forgive.'

members naomba tafakari zenu.

Source:google

we really miss these visionary leaders, maskini aliona mbali! Haya ndo yanakuja tanzania, juhudi za mwalimu na jamii yake zimechezewa na hakika nawaambia kizazi hiki na kinachokuja kamwe ka==hakitamsamehe hata mmoja aliyehuska kuzorotesha juhudi hizi!
 
Mmh!Ni kweli kama mtu atatumia muda mchache na kuvuta hisia juu ya mambo yanayotendeka nchi hii atajikuta anakamua machozi.
 
Back
Top Bottom