Vyumba Guest House Zimejaa Wenyeji Toka Jana

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Mh! Kweli sikuu ni siku ya kumuasi Muumba? Jana na leo amri ile ya sita inabanjuliwa tu! Tena wengine hadharani,kwenye magari na sasa guest house vyumba vimejaa. Huu uchafu unaofanyika kweli majanga yatatuacha? Kweli dhambi si kuzini peke yake lakini hii humshushia mtu hadhi yake. Kwa vile hakuna dini inaruhusu uchafu huu jamani kwa pamoja hebu tulikemee hili kwa nguvu ya pamoja! Kwa wale washiriki wa uchafu hivi hawajiulizi,mfano km dada yako,mtoto wako au mama yako akifanyiwa we unajisikiaje? Kama utajiskia vibaya,basi wengine nao wanajiskia vibaya jamaa au ndugu zao wanapofanyiwa uchafu. Sio kwenye sikukuu tu,hili limeshakuwa janga tulizuie,tukipinga kwa pamoja huenda tukafaulu.
 
dah hili ni janga la kitaifa.weng wetu ili ukamilishe sikukuu lazima uvunje amri ya 6,kitu hikh si uungwana mbele ya MWENYEZI MUNGU ALIYETUUMBA.Nadhani sasa tumekaribia mwisho.....
 
Umejuaje kama guest house zilijaa ,ulikosa?

Utafiti ndio uliosababisha niliseme hili. Pia mimi siishi nje ya dunia hivyo haya ni mambo ambayo tunayaona na haifai kuyafumbia macho kana kwamba hatuyaoni.
 
Hii haina tofauti na idd elfitri. Tena wakati wa idd ndiyo zaidi. Si kwamba quest houses tu ndiyo zinajaa, bali hata kitimoto inaliwa sana, bia zinanyweka zaidi, na vibaka nao wanafungulia
 
Mi ndiyo maana nilikuwa naombea hii mvua iendelee kutandika wiki mbili mfululizo.

Kwani hata huo upuuzi waku ngonoka wasinge ufikiria kabisaa.

Wanadamu tumezidi kumfanyia machukuzi mwenyezi mungu.

Hebu piteni mwenge opposite na magorofa ya jeshi kwenye makutano ya bara bara iendayo TRA na zahanati ya mwenge pemben hapo mkono wa kushoto kuna baa moja ya MASHOGA yaani ukipita hapo ni laana tupu mambo wayafanyayo na wengine na vijana wadogo sanaa hivi karibun eneo hilo limegeuka kuwa eneo la mauaji kwan watu wanagongwa sana na kila anayegongwa lazima afe..
 
Wataaalam wanasema wanatoka dar waenda dar...ndio biashara kubwa sana dar kwa sasa..."Short time"
 
Mh! Kweli sikuu ni siku ya kumuasi Muumba? Jana na leo amri ile ya sita inabanjuliwa tu! Tena wengine hadharani,kwenye magari na sasa guest house vyumba vimejaa. Huu uchafu unaofanyika kweli majanga yatatuacha? Kweli dhambi si kuzini peke yake lakini hii humshushia mtu hadhi yake. Kwa vile hakuna dini inaruhusu uchafu huu jamani kwa pamoja hebu tulikemee hili kwa nguvu ya pamoja! Kwa wale washiriki wa uchafu hivi hawajiulizi,mfano km dada yako,mtoto wako au mama yako akifanyiwa we unajisikiaje? Kama utajiskia vibaya,basi wengine nao wanajiskia vibaya jamaa au ndugu zao wanapofanyiwa uchafu. Sio kwenye sikukuu tu,hili limeshakuwa janga tulizuie,tukipinga kwa pamoja huenda tukafaulu.
Kweli zimejaa..mpaka jana nikaamua kuchapia kwenye gari baada ya kukosa room gest kama nne hv!
 
Hii haina tofauti na idd elfitri. Tena wakati wa idd ndiyo zaidi. Si kwamba quest houses tu ndiyo zinajaa, bali hata kitimoto inaliwa sana, bia zinanyweka zaidi, na vibaka nao wanafungulia

Mi sijasema xmass,ila nimesema sikukuu.Na hili limekuja kwa kuwa niwakati mwafaka. Sasa ustake kuharibu mjadala ila tumia hekima. Wazinzi si xmass pekee hata eid hufanyika! Na hata siku za kawaida pia,hivyo tukemee dhambi hii inayodhalilisha.
 
Hii haina tofauti na idd elfitri. Tena wakati wa idd ndiyo zaidi. Si kwamba quest houses tu ndiyo zinajaa, bali hata kitimoto inaliwa sana, bia zinanyweka zaidi, na vibaka nao wanafungulia

Mi sijasema xmass,ila nimesema sikukuu.Na hili limekuja kwa kuwa niwakati mwafaka. Sasa ustake kuharibu mjadala ila tumia hekima. Wazinzi si xmass pekee hata eid hufanyika! Na hata siku za kawaida pia,hivyo tukemee dhambi hii inayodhalilisha.Hapa usilete suala la udini ila tutumie dini kutokomeza uchafu huu.
 
Mbona mnaita ngono uchafu! Maisha ya mjini watu wanakaa chumba kimoja watu kibao sasa wanameki zikitimia
ndio wanapata fursa ya kujiachia kwenye nyumba zenye hadhi kidogo kujiliwaza wanzinzi wapo kazini siku zote ila siku za sikukuu kuna honeymoon zinaongezeka.
Kuhusu dada zenu mnawabania sana ila siku za sikukuu ndio mnawapa uhuru wa kuchelewa kurudi.
Mbona bar, hotel zinajaa pia
 
Back
Top Bottom