leo kazi ipo....kuahirisha cwez,mbege inaningoja,.,.damn!npo ubungo..ndo natoka mmh
Poleni sana nyooote mlio kwenye hiyo adha ya foleni. Kwa hizi foleni, Watz. aghalab zimekuwa kama ndio jadi yetu. Unaweza kukuta pengine ni uzembe wa dereva mmoja au wawili unasababisha foleni zisizo za lazima.Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2
Thx Rejao me nimefanikiwa kufika jana ucku ila kwa tunaoenda na magari yetu binafsi tujaribu kuwa makini sana barabarani tupunguze speed na TAHADHARI uksha pita segera kabla ya kufika korogwe mjini barabara ni mbaya sana kupita kiasi kuna mashimo makubwa sana yaliyopelekea tyre kubust mpaka eneo linaitwa Buiko kwenye kibao cha mpaka wa tanga na kilimanjaro then baada ya hapo eneo la same mpaka mwanga tujihadhari na upepo mkali..NAWATAKIA safari NJEMA karibu saaaana.
Nimefanikiwa kupita Mlandizi ila ni baada ya jitihada za kutanulia mashambani mwa watu. Tupo kama 3k kutoka Ruvu nako tumekwama kwa zaidi ya dk 20 now