Nani bora

BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
574
222
kupita ccm mbio za urais 2015 kati ya hawa nani angalau ataleta matumaini kwa wananchi na wanachama wa ccm na wasiowanachama??
1.salim ahmed salim
2.magufuli
3.membe
4.migiro
5.lowasa
6.sita
 
Hakuna alie bora ndani ya CCM.
 
2.MAGUFULI - Wanasema "You cant teach an old dog new tricks" Huyu alikuwa Mwalimu na bado ana act kama mwalimu kuendelea kumea viongozi wenzake mbele ya kadamnasi kama wanafunzi.Aki bahatika kuwa rais sitashangaa akianza kuwachapa watu viboko hadharani.

3.MEMBE - Bado anaamini Tanzania hatuwezi kuendelea bila misaada,rejea utetezi wake kuhusu OIC.

4.MGIRO - Nikumbushe ni kitu gani cha maana alifanya wakati alikuwa waziri?

5.LOWASA - Wanasema "mti wenye matunda mazuri ndio unarushiwa mawe"

6.SITA - Tatizo hana msimamo,Muulize Mpendazoe kwa ufafanuzi zaidi.
 
Mbona umeanzia 2!!???
 
Kati ya hao wapo wanaofaa ila tatizo ni mtandao wa kichama,hautampa uhuru wa kutekeleza na kufanya maamuzi magumu yenye maslahi kwa taifa has ukizingatia chama chao kimejengwa na fedha za wafanyabiashara na fedha nyingine zimepatikana kwa njia za kifisadi,ieleweke kwamba mambo mengi hayawezi kwenda maana huo mtandao umemshika kila mmoja ndani ya chama
 
2.MAGUFULI - Wanasema "You cant teach an old dog new tricks" Huyu alikuwa Mwalimu na bado ana act kama mwalimu kuendelea kumea viongozi wenzake mbele ya kadamnasi kama wanafunzi.Aki bahatika kuwa rais sitashangaa akianza kuwachapa watu viboko hadharani.

3.MEMBE - Bado anaamini Tanzania hatuwezi kuendelea bila misaada,rejea utetezi wake kuhusu OIC.

4.MGIRO - Nikumbushe ni kitu gani cha maana alifanya wakati alikuwa waziri?

5.LOWASA - Wanasema "mti wenye matunda mazuri ndio unarushiwa mawe"

6.SITA - Tatizo hana msimamo,Muulize Mpendazoe kwa ufafanuzi zaidi.
Uchambuzi wako si Mbaya!
Nakusifu kwa ku'reserve comments zako juu ya No1!
Nitakusaidia , maana naona wewe tguko pamoja!
Salim Ahmed Salimaka SAS ni mtu asiye na makundi, naamini hawezi kuyaanzisha uzeeni!
Lakini pia ni mkongwe wa siasa za Tanzania, na mara nyingi anajiepusha sana kutoa kauli za kishabiki!
In a sea of wildcats i would welcome him!
 
kupita ccm mbio za urais 2015 kati ya hawa nani angalau ataleta matumaini kwa wananchi na wanachama wa ccm na wasiowanachama??
1.salim ahmed salim
2.magufuli
3.membe
4.migiro
5.lowasa
6.sita
hapa kazi ipo!
 
kiuhalisia Lowasa ndie anaeweza kupeperusha bendera ya ccm wakapata angalau % kadhaa, KWANZA HANA DHAMBI YEYOTE YA UFISADI MWENYE USHAHIDI ALETE JAMVINI aliachia ngazi kwa manufaa ya chama na serikali
 
Kuna wanaomshauri apunguze kinywaji.... Mwanaye Fred kutokana na kilaji kukolea kaharibu Arusha huko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom