Ajari maeneo ya suka sasa hivi

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Wanajamvi kama kuna mtu yupo maeneo ya suka kabla haujafika suka kituoni kama unatokea ubungo kuna ajari mbaya imetokea.
Watu wengi sana wamejaa na inavyo onyesha ajari hiyo imemuhusisha dereva wa boda boda na inaonyesha kuna mtu kafariki kwani watu wamejaa mtaroni wana angalia na kuna utulivu kweli kweli. kwani barabarani hapo hakuna gari yoyote ile.
Kwa mwanajamvi yoyote atokeaye maeneo ya huko atujuze basi
 
hapa hata wiki haijaisha kuna dereva wa bodaboda ilingia mwenyewe kwenye gari iliyokuwa ikiingia barabara kuu. Hawa watu wanasaidia sana ila umakini wao wakiwa barabarani ndio tatizo
 
Wanajamvi kama kuna mtu yupo maeneo ya suka kabla haujafika suka kituoni kama unatokea ubungo kuna ajari mbaya imetokea.
Watu wengi sana wamejaa na inavyo onyesha ajari hiyo imemuhusisha dereva wa boda boda na inaonyesha kuna mtu kafariki kwani watu wamejaa mtaroni wana angalia na kuna utulivu kweli kweli. kwani barabarani hapo hakuna gari yoyote ile.
Kwa mwanajamvi yoyote atokeaye maeneo ya huko atujuze basi

Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?
 
Lakini mama nahisi umeelewa alimaanisha nini?
 
na wewe nawe "ajari" ndio nini? Wewe kweli mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? Halafu mingi humu inasema nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?

nilifikiri kuongea tu kwa ajili ya lugha ya mama, kumbe hata kuandika!
 
jamani! MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

Kubali ukatae lazima usherekee christmas na si wewe tu bali dunia yote na nchi zote za kiisilamu YESU YESU YESU YESU YESU YESU YESU YESU YESU YESU YESU YESU .......................
 
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?
msamehe alizaliwa baada ya kifo cha Nyerere
 
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?

unajifanya unajua wakati hujui na hujijui kama hujui duuu.

Minikajua hujaelewa kumbe umeelewa bali waleta mbwembwe tu na kutia wanja.

Lengo kubwa la lugha kama mtoa habari na mpokea habari wameelewana basi hakuna tabu.
 
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?

Na wewe "mingi" yako ina maana gani? Na matumizi ya herufi kubwa baada ya kituo kwako ni "option"?
 
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?

Hahahaa mwambie huyo, AJARI maana yake ni malipo kama umefanya kazi muda wa ziada (OVERTIME),hili ni tatizo kwa wengi (R n L) nway bodaboda zimeletwa kwa ajili ya kupunguza watu Dar. Poleni
 
wabongo tuna kawaida ya kukimbilia kwenye matukio bila hata kujua chanzo,baya zaidi hawatoi msaada wanaishia kuangalia tu,so uwingi wa watu unaosema umeuona hapo eneo la ajali saa ingine haumaanishi kuna fatal.
 
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?

Na wewe nawe "asiyejuwa" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya kujua na kujuwa?
 
Tatizo la hawa madereva wa bodaboda wakijua kunyoosha usukani na kuvuta mafuta basi wamemaliza, wengi wao hawajui sheria za usalama barabarani, asubuhi anajifunza pikipiki jioni unamkuta yupo barabarani akibeba abiria, kwa utaratibu huu tutaisha, kwani ajali hizo zimekuwa janga la kitaifa.
 
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?

Twende taratibu sasa.
 
Back
Top Bottom