Vita dhidi ya rushwa Tanzania inawezekana?


Joined
Nov 20, 2010
Messages
4
Likes
0
Points
0

Rubuyemajaliwa

New Member
Joined Nov 20, 2010
4 0 0
Huenda hujakutana nayo,lakini ni juzi tu tulikuwa na jamaa tunajadiri,rushwa iko kila kona,mahakamani,police,barabarani(trafic),hospitari,ofisi za huduma za kiserikali,n.k.je,pccb wanaweza maliza kitu hii au ........
 

Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Messages
248
Likes
0
Points
0

Jujuman

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2008
248 0 0
Huenda hujakutana nayo,lakini ni juzi tu tulikuwa na jamaa tunajadiri,rushwa iko kila kona,mahakamani,police,barabarani(trafic),hospitari,ofisi za huduma za kiserikali,n.k.je,pccb wanaweza maliza kitu hii au ........
Vita hii Mkuu ni Lazima Ianzie kwenye Nafsi kwanza, wewe na mimi tujitakase, tuwetayari kuhakikisha "Hatutoi wala Hatupokei" RUSHWA kwa hali yeyote ile. Ikiwa hatuwezi kupata haki zetu bila kutoa Hongo, basi tuwe tayari kupoteza haki hizo ili mpokea rushwa ajue kuwa anachofanya hakikubaliki. Pili tusichoke kuvifahamisha vyombo husika pamoja na Dhana kuwa navyo vimo katika Mkumbo huhuo. Ikiwa Nafsi zetu zitakuwa timamu juu ya Kutoa na kutopokea, then tunaviangalia vyombo Husika ni vipi vinakabiliana na utekelezaji wa Wajibu waliopewa Kisheria, na ikiwa wanalegalega/wanazembea, then ni Wajibu wetu kuisakama Serekali kuu na kuitaka Iwajibike kwa namna moja au nyingine.
Pamoja na yote hayo jibu la msngi ni Kuanza na Nafsi zetu kwanza.
 

Forum statistics

Threads 1,204,847
Members 457,573
Posts 28,172,666