Inatosha sasa kwako wewe kuwa kama guest (mgeni) humu jf zaliwa upya 2012 kwa kuwa member | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inatosha sasa kwako wewe kuwa kama guest (mgeni) humu jf zaliwa upya 2012 kwa kuwa member

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maganga Mkweli, Dec 31, 2011.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wakuu hope wote mko na afya njema mkiwa na matumaini ya kufikia mwaka 2012 , kwa kipindi kidogo nilichopo humu jamiiforums kwenye kila post nigundua idadi kubwa ya watizamaji na wachunguliaji thread ni wageni(guests) basi ni ombi langu kama mdau karibieni kwani kujiunga ni bure ili tuweze kuikoa hii nchi yetu inayolekea kusikoeleweka
  kwa pamoja tunaweza nawatakia heri ya mwaka mpya 2012 wenyewe neema na baraka
   
Loading...