JK atatoa zawadi ya mwaka mpya 2012? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK atatoa zawadi ya mwaka mpya 2012?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichwa Ngumu, Dec 31, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wakati tunaingia mwaka 2011 raisi ambae serikali yake imedolola sana alitoa zawadi kwa wananchi wake kwa kutekeleza sera ya chama cha CDM kwa kukubali mchakato wa kupata katiba mpya.
  Je, mwaka mpya 2012 atatoa zawadi gani?
   
Loading...