LEO na KESHO.. NCHI YANGU TANZANIA WEWE JE.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LEO na KESHO.. NCHI YANGU TANZANIA WEWE JE.?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hau, Dec 31, 2011.

 1. H

  Hau Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MiMI ni mtanzania tena wa asili. Ndugu zangu tuwe wakweli uwaga jinsi unavyo jiona wewe tofauti na wengine. Naona tabu sana ninavyoona vitu vinavyoenda nchini masikini na tajiri kunatofauti kubwa sanaaaaa.. tofauti na dhamani urasimu tele na ubinafsi kwa wachache... Leo tunaaga mwaka 2011 tunakwenda 2012. Vijana waliokwenda chuo wengi na mtaani tele wengine wakipata kazi wanawasahau wenzao. Kila kona tunasikia viongozi wanagombana kuhusu madaraka itafikia kipindi kila mmoja atataka ubunge, udiwani na uraisi mwisho tutakuja pigana sana. ninawaombea dua kila kiongozi mwenye kufanya wizi, ufisadi na ujuma zozote ndani na nje ya tanzania kama mtanzania hata kushirikisha familia au rafiki mungu mpe madhara na magonjwa na ajali mpaka kifo mwaka 2012 kuanzia kesho....... Ameen.
   
 2. H

  Hau Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni muda sasa tumuombe mungu.
   
Loading...