Kupata nafasi ya kusoma ucc

raia tz

Member
Nov 21, 2011
89
16
Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma na baadae degree ya IT.je naweza pata nafasi pale.

1.pia naomba ushauri wa plan b kama CBE,DIT IFM NA INSTITUTE NYINGINE.
2.Kama kuna mtu ana connection ya hao jamaa wa hivyo vyuo naomba mni pm au mnicall kwa 0654000253:
3.Elimu ni ufunguo wa maisha,natamani mdogo wangu usome and i believe msaada utataoka huku JF.
Shukrani nawasilisha.
 
UCC kwa mfano, hakuna magumashi, unafika pale, wanakupa ratiba zao, unachukua fomu.
Au sio?
 
Anaweza kabisaaa akasoma nina mtu wangu wa karibu ambaye alipata DIV 4 amemaliza certificate na sasa anaingia diploma ya IT hapohapo UCC cha msingi tu atembelee ofisi zao au website yao kwa maelezo zaidi.Kuhusu CBE kwenye IT sifahamu sana ila DIT na IFM ni wazuri but sina hakika kama wana kozi za certificate ila cha msingi atembelee tu website zao au awatembelee physically akapate info zaida ila ushauri zaidi asome professional za IT kama vile SISCO, ORACLE. MSCE n.k huko mbele ya safari zitamuuza zaidi soko la ajira if k ana mpango wa kuajiriwa na kama fedha zipo
 
Nikushauri tu rafiki yangu Plan A ya UCC no bora zaidi ya zote,UCC ni chuo kinachotambulika kwa kozi za IT,kama huyo mdogo wako ana uelewa mzuri wa computer ni vizuri aanzie IT Essential kisha achukue CCNA akimaliza vizuri atakuwa ameweka kitu kingine kabisa ktk CV yake,
Mawili anaweza kufika ofisini kwao kuchukua form
Au kuingia kwenye website ya UCC na kudownload attached form kwa ajili ya kujaza
 
Ndio hata IFM wanatoa certificate mbalimbali kama computer science, social protection, banking and finance, insurance...!
 
UCC inamfaa sana, ila mwambie awe makini ktk kusoma, kama ni kichwa maji na ajitumi atakama aki-dahiliwa hapo UCC anaweza kutoka kapa vilevile; nafasi ziko za kumwaga pale UCC ni muda wake tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom