Natangaza nia kugombea uwenyekiti ccm taifa kupambana na jk 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza nia kugombea uwenyekiti ccm taifa kupambana na jk 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king11, Dec 30, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwasababu chama kimekosa kabisa uelekeo na jk amekosa mvuto ndani na nje ya chama natangaza kuchukua fomu za ugombea wa uwenyekiti wa CCM taifa. Katika uongozi wangu ndani ya chama nitabadili mifumo ya kizamani ndani ya chama na kuingiza ya kisasa. vipaombele vitakuwa vitatu

  1. kutatua tatizo la ajira kwa vijana

  2.Chama kuendeshwa na vijana

  3. kukuza uchumi utaomilikiwa na wananchi na wananchi walio wengi  MCHAGUE KING11 KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM KUOKOA TAIFA NA CHAMA CHA CCM
   
 2. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,626
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usianze kwa kutumia jina lako halisi na picha yako ili tusikuchukulie kama another daydreamer.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwehu, utatutangaziaje huku bila hata kujua jina lako?.
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,463
  Likes Received: 1,150
  Trophy Points: 280
  Too late! CCM ishakufa bado kuzikwa tu, na maziko ni 2015
   
 5. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  somebody said 'day dreaming'......there's no better word than that, it's just that am using a phone ningemngongea ma-likes
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wewe utaleta mgogoro kwenye chama,kama hujui hili waulize CUF wakuambia!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,545
  Likes Received: 14,950
  Trophy Points: 280
  Rostam umekuja JF
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yeye si ndo anaenda kuizika!
   
 9. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Khaaa ! Kumbe hata humu wamo !
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,528
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Fieni mbali na chama chenu!
   
Loading...