Wakazi wa Kigamboni waongezewa nauli ya kivuko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa Kigamboni waongezewa nauli ya kivuko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshume Kiyate, Dec 31, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana JF.
  Makali ya maisha kwa wa kazi wa Kigamboni yanazidi kuwa magumu! Kuanzia kesho nauli za Kivuko zimepanda kutoka 100 hadi 200.

  Gari kutoka 700 mpaka 1000.
  Pikipiki kutoka 300 mpaka 500
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,548
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Wahamie huku bara!
  Hizo ztakuwa ni
  mbinu za kuwahamisha
  george bush alikuja
  kuangalia amana zake
  juz kati sasa anataka
  kuanza plan b!!!
   
Loading...