Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ojwang, Dec 28, 2011.

 1. O

  Ojwang New Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini wandungu, hapa uhamiaji kurasini kitengo cha work permit kuna mama mmoja (MAMA P...E) anatoa sana vibali hovyo kwa kupewa rushwa hasa kwa wenzetu jamii ya waasia kiasi kwamba sasa kila kona wahindi wamejaa na wengine hata qualification hawana, just imagine wanasema ni IT consultant ila ukimkuta ofisini hafanyi kazi hizo anafanya bank reconciliation je ni kweli Watz vyuo vyetu havina uwezo wa kutoa qualified people to do even bank recon, NBAA nao wako wapi na sio hao tu hata kwenye field nyingine eg engineering, wapi ERB?? wapi CRB???, Wizara ya ajira na maendeleo ya vijana wako wapi???.

  Kuna kampuni ya wadosi wao ndio wanajifanya maexpart wa kuleta wahindi hapa nchi wakifika pale kila kitu wanampatia mama p, then permit za magumash zinatoka.

  Waziri wa wizara husika fanya maamuzi magumu mama p aondolewe pale hafai..

  aliye na nyongeza anakaribishwa tafadhali
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Majungu hatutaki, lakini nashauri huyu mama P achunguzwe....hii nchi si shamba la bibi wajemeni.
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  watu wanapenda habari za lowasa tu,hili tumeshapigia kelele sana.kilichobaki kama hakuna hatua ni kuwa south africa tu! Kibaya zaidi hii issue ni simple tu! Vijana kibao hawana ajira sababu ya wadosi hawa!
   
 4. O

  Ojwang New Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajameni hata mkurugenzi wa uhamiaji yafaa achunguzwe kwa undani Mzee S...O mengi yanapita ktk mgongo wake kwa rushwa za wadosi
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Hii issue ni very serious! Jamani wadosi wanateketeza ajira hapa Tz,tusaidiane kukomesha hali ni mbaya mno kuliko tunavyodhani.narudia tena uhamiaji wanatuangusha mno na pale kuna rushwa za kutisha na wahindi.tunataka hatua za haraka kuzuia na waliopo watimuliwe,simple wapite maofisini now! disaster jamani!
   
 6. O

  Ojwang New Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadosi wengi ambao ni foreigners hapa kwetu wanaishi kama wafalme kila kitu kizuri wamepewa wao nyumba za upanga asilimia tisini wakazi ni wadosi je nhc walijenga kwa ajili yao au ni kwa ajili yetu watz?

  wanakwepa kodi ya hatari ktk biashara zao simply becase they can use money to bribe tax officers where are we guys???? lets wake up guys ncj-hi inakwisha hii jamani
   
 7. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  mkuu huyo uliyemtaja post ya kwanza wanambadilisha vituo tu na sasa hayupo kurasini na ni moja wa wahusika wakubwa wa huu upuuzi!
   
 8. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa nini huyo mama usimtaje kwa majina yake yote kamili tumfanyie kazi au ndio majungu na mavyungu wa bongo kama jadi?
   
 9. K

  Kibubumo Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sajenti nikusaidie huyu mama anaitwa Mama PAMBE na mkurugenzi ni Shayo
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Mkuu siku moja watu wataelewa tulikuwa tunamaanisha nini! Leo nimepita ofc 3 na kukuta haya haya! Wengine nimewahoji binafsi!
   
 11. K

  Kibubumo Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baaelezee kaka waelewe, kuna mambo mazito yamejificha ambayo ni ss wenyewe tunaotakiwa kuyalipua
   
 12. K

  Kibubumo Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF ur contribution are highly needed on this matter please
   
 13. G

  Grapes New Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ulivyonigusa kaka yaani mie nimuathirika wa hao maexpert wa kutoka india na ufilipino. Kazini kwaku wamewajaza kiasi nimeletewa mmoja nimfundishe uhasibu, then naambiwa ndo bosi wake. Baada ya miezi mitatu ananipa business card eti ni IT expent accountant at execel hajui kutumia yaani naumia kuona wabongo tunalipwa visenti wakati wao wanalipwa dola na permit fake.
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  Uhamiaji wametuchosha na vibali vya magumashi kwa wahindi.tena kuna Wahindi 4 wahasibu wataingia next month kama ma IT expert sijui ERP expert na uhamiaji watatoa vibali! Hao NBAA ndio wapuuzi kabisa wanawapa CPA Kiajabu hawa wahindi while wana vibali vya IT expert! Kwanini work permit isiwe moja ya viambatanisho? Hongo tu! Inakera mno!
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  haya,mmeona taarifa ya habari TBC leo? Hao wahindi cha mtoto wapite ofisi hadi ofisi na kuhakiki vibali na kazi wanazofanya hawa wahindi!
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Yule mama hatulii yeye ni kuzunguka tu anaongea na watu.
   
 17. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kiini cha tatizo ni Nyerere pale mwaka 1962, hakutaka kusikiliza mawazo ya ANC kuwa baada ya Uhuru tutimue South Asian, Indians na Pakstan wote ambao waliletwa na Mwingereza ili wawe tabaka la kati na waafrica wawe vibarua. Baadaya ya uhuru mwaka 1961 kulitokea ubishani mkali, kati ya wale waliotaka pia tabaka saidizi la wazungu, yaani wahindi pia litimuliwe, ili kutengeneza tabaka jipya la wafanyabiasha na middle class weusi, Nyerere kwa wivu au vyovyote vile aliamua kuwasaliti weusi kwa kuwabakiza wahindi. Hii sababu ni moja kazi ya sababu ya jaribio la mapinduzi la 1964. Hawa jamaa watatutesa sana mpaka tukome, tena na mfumo uliopo wa haki za binadamu kwa sasa kuwaondoa ni vigumu sana. Wenzetu Uganda na Kenya walijitahidi na waliwabana kiasi fulan na ndio maana wameweza kutengeneza middle class weusi wa kutosha. Sisi tutakuwa vibarua kwenye nchi yetu milele.
   
 18. K

  Kibubumo Member

  #18
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njoo Tanzania Oxygen uone ss wakenya tulivyowaondoa wtz ktk ajira kulikuwa na wahandisi wazawa wazuri sana mpaka ss wakenya tunajiona tuko shallow ila tumefanya fitina
   
 19. K

  Kibubumo Member

  #19
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labour wako easy sana wahandisi waliokuwepo TOL sio mchezo lakini labour uhamiaji wanahongeka kiulaini, na tutahakikisha mpaka walinzi wa kufungua mageti ya tol wanatoka kenya we subiri 2012 uone balaa letu watoto wa kibaki
   
 20. K

  Kampemba Member

  #20
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vuai aliwapa siku za kujirekebisha kwani bado?
   
Loading...