Kilimo kwanza kiini macho?

Watunduru

Senior Member
Dec 29, 2011
170
39
Dhamira ya serikali juu ya wakulima kupitia sera ya kilimo kwanza inatia shaka baada ya mwaka huu pembejeo kupanda bei mara dufu.mbolea ya ruzuku TUNDURU imepanda toka elfu ishirini na tisa mwaka jana hadi elfu hamsini mwaka huu,jamani hali hii ni kwa mikoa yote au kwa sisi tu ambao hatuna wawakilishi?kama hali ndiyo hii,uwapi msaada wa serikali kwa wakulima wa nchi hii?
Nawasilisha.
 
mbeya ni sh.67000 waklima wadogo wanagawana mfuko mmoja hawawezi kununua mfuko mzima kwa bei hiyo bei ya mazao bado iko chini.
 
Back
Top Bottom