Kwa heri 2011 "tongana' - karibu 2012 "wechonche"

Mar 5, 2009
95
32
Wapendwa mwaka 2011 umekwisha,tumefanya mengi mema na mabaya, tutafakari kwa makini wapi tumekosea tufanye marekekebisho na ambapo tumefanya vizuri tuombe baraka za mwenyezi mungu tufanye vizuri zaidi. Kila la kheri ktk mwaka mpya.
 
Back
Top Bottom