This is too much to Tanzanians

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
I have had a chat with some friends from different African countries. I got touched by some comments by a nigerian and a kenyan. A nigerian said 'tanzania is the easiest country to lead in africa. Her people are less concerned with what their learders are doing'. A kenyan guy jumped in and said, 'hata ikiwekwa ng'ombe inaweza ongoza watu ya tanzania'.
Kwanini hawa wanatuchukulia poa hivyo? Nimechukizwa na mitizamo yao dhidi yetu.
 
Mbona mimi nawaona wa Wanigeria na wakenya kama watumwa tu wasio na akili

Ambao wamechagua viongozi wajinga wajinga na wakauza resources zao (land and oil) hata wananchi hawajaweza kuhoji

sisi tuna nafuu sana
 
Hawa jamaa wanajivunia vurugu zao. Inashangaza kwa instability inageuka kuwa prestige kwao.
 
What is the truth boss? Kwamba hata ng'ombe anaweza kutuongoza? Its extreme as i can see.
 
Back
Top Bottom