Utabiri wa hali ya hewa

Ndugu zetu hawa wanaenda vice versa siku zote full usanii,hawajatabiri mvua yametokea maafa,wakaja mbio na maelezo na kujidai kukumbuka wajibu wao,wamekurupuka ohh kuna mvua kubwa zaidi ya ile ya mwanzo,mambo ndo haya jua kali, kazi kweli
 
hawa watabiri kama waganga wa kienyeji......mpaka sasa sijaona mvua waliosema......
 
labda wanamtumia mnajimu manake vyombo vyao haisemi ukweli
ile rada ya jeshi aka ya CHENGE nayo mtumba sasa wanabuni tu.
wadau tumieni computer zenu angalieni bbc weather au google bora hao kuliko TMA.
 
labda wanamtumia mnajimu manake vyombo vyao haisemi ukweli
ile rada ya jeshi aka ya CHENGE nayo mtumba sasa wanabuni tu.
wadau tumieni computer zenu angalieni bbc weather au google bora hao kuliko TMA.

Sio kila mtu ana access ya google wewe kiazi......
 
Ndugu zetu hawa wanaenda vice versa siku zote full usanii,hawajatabiri mvua yametokea maafa,wakaja mbio na maelezo na kujidai kukumbuka wajibu wao,wamekurupuka ohh kuna mvua kubwa zaidi ya ile ya mwanzo,mambo ndo haya jua kali, kazi kweli

Kwa hili la mvua nyingi nawatetea, walitangaza kwenye vyombo vya habari mapema sana, na kwa kuwa nilikuwa namalizia ujenzi wa nyumba yangu kule kijijini ndio maana nakumbuka sana taarifa ile.

Tatizo letu hatusikilizi redio na kusoma magazeti, kila siku facebok, JF na kuangalia EATv
 
Mbeya kutakuwa na mvua, jua, mawingu ya hapa na pale, mvua za rasha rasha....
Hapa hata mimi naweza kutabiri.
 
Back
Top Bottom