Wananchi wa Musoma wanageuzwa kama chapati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa Musoma wanageuzwa kama chapati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Dec 30, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa msoma wameomba serikali iache kuwagaeuza kama chapati.
  Kwamba walianza kwenye shida ya Umeme, wakawageuzia kwenye shida ya mafuta, na sasa wapo wanachakachuliwa kwenye sukari.
  Wanaomba serikali iwawekee kituo cha mafuta Musoma ili kuweka ushindani wa Vituo vilivyopo. Mia
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hiyo kali mzee
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  Loool!! Mia
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Maneno ya yule jamaa mwenye mashavu makubwa aliyeonekana kwenye TV jana. Kumbe uliibamba ile!
   
 5. C

  CHIEF MGALULA JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 783
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  Bado,mtageuzwa kama samaki kwenye kikaango,pooooole samaki poole!!!!!!wanavyok................
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu naona mie ndiyo nimekuwa mhanga mkuu wa wageuzwaji wa musoma, maana jana nimeuziwa petrol sh 6500 kwa kila lita moja. Kwa mwendo huu itabidi tuangalie uwezekano wa kupandisha bendera ya Kenya ili tujiondoe Tz kabisaaa.
   
Loading...