Tbs, Tfda, na Tume ya Ushindani vyombo vyote hivi vya nini??... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbs, Tfda, na Tume ya Ushindani vyombo vyote hivi vya nini??...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshawa, Jan 5, 2012.

 1. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 687
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimekua nikijiuliza bila majibu juu ya umuhimu, na uwepo wa vyombo vyote hivi hapa Tanzania, Ni kwa nini serikali isiwe na chombo kimoja kati ya Tbs(Tanzania Bureau of Standards) Tfda(Tanzania Food and Drugs Authority) na Tume ya Taifa ya ushindani katika shughuli hizi za VIWANGO na UBORA??. Nawasilisha.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,333
  Likes Received: 3,596
  Trophy Points: 280
  Kutengeneza Ajira!!!
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,329
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kupeana ulaji.
   
Loading...