Dr Mwakwembe Longa

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Mimi binafsi naona Dr anawaangusha wapiga kura wake kwa yeye kutotaka kusema anaumwa nini na sababu za ugonjwa wake anapo ulizwa. Kwanini hasemi? wapiga kura wake wana haki ya kujua.Amewaweka njia panda,wakati wapiga kura wanampenda na wana wasi wasi na afya yake.Hapa inaonesha Dr hawajali wapiga kura wake kama wao wanavyo mpenda na kumjali.Hayo ni mawazo yangu.Je wengine mnafikiria nini?
 
Hawatakiwi kusema ukweli labda
Wanaweza sababisha taharuki

Mioyo ya hao watu inaficha mengi, usiwaone kwenye maVX.
 
Taharuki kwa nani?
Mbona tunamuona ni mtu msema kweli na asiye ogopa kulonga?
 
That could be a well calculated move. Or else, uchunguzi unaendelea. Hawezi kukurupuka na kuanza kuongea na kutaja majina ama vitu. Kuna faida zake kupambana na adui yako ukiwa gizani, anabakia na maswali how much do u know already..
So wapiga kura, tulizeni mzuka
 
Wapiga kura na Wa tz wote tumwombee..
Unajua nimegundua hata Shetani hawapendi viongozi wetu wenye at least karoho ka huruma na watz..
Siyo vita ya mafisadi tu na shetani yumo...!
Mim hayo tu,ukute hata ye mwenyewe hajui ni nini..
 
Mimi binafsi naona Dr anawaangusha wapiga kura wake kwa yeye kutotaka kusema anaumwa nini na sababu za ugonjwa wake anapo ulizwa. Kwanini hasemi? wapiga kura wake wana haki ya kujua.Amewaweka njia panda,wakati wapiga kura wanampenda na wana wasi wasi na afya yake.Hapa inaonesha Dr hawajali wapiga kura wake kama wao wanavyo mpenda na kumjali.Hayo ni mawazo yangu.Je wengine mnafikiria nini?

Unataka aseme mara ngapi,kabla ya kwenda india alishasema amewekewa sumu
 
That could be a well calculated move. Or else, uchunguzi unaendelea. Hawezi kukurupuka na kuanza kuongea na kutaja majina ama vitu. Kuna faida zake kupambana na adui yako ukiwa gizani, anabakia na maswali how much do u know already..
So wapiga kura, tulizeni mzuka
Ni bora aseme mapema kabla haijawa too late.
 
Wapiga kura na Wa tz wote tumwombee..
Unajua nimegundua hata Shetani hawapendi viongozi wetu wenye at least karoho ka huruma na watz..
Siyo vita ya mafisadi tu na shetani yumo...!
Mim hayo tu,ukute hata ye mwenyewe hajui ni nini..

yesu wangu kumbe hata shetani anatuchukia hivi?

sasa nchi nyingine zimewezaje kumfukuza huyu sgetani?

yaani unataka kuniambia na misikiti na makanisa yote ya kiroho na waumini wote waliopo hapa tanzania wameshindwa kabisa na huyu shetani aliyeingia kwenye kila kitu?
 
Ni mgonjwa itasaidia nini akisema na he is sick. tumwombee tu apone. na hata ukajua anachoumwa utamsaidiaje.
 
ww ukiwa na mgonjwa hutataka kujua anaumwa nini na chanzo cha ugonjwa?
 
Kwa kuwa unamzungumzia dr MWAKWEMBE na dhani mod hawataondoa hii post maana jana kulikuwa na post inazungumzia DR Mwakyembe iliondolewa maana ilianza kuchafua hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom