Naomba Zitto Kabwe atoe ufafanuzi wa acc zake za FB. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Zitto Kabwe atoe ufafanuzi wa acc zake za FB.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwakalinga Y. R, Jan 5, 2012.

 1. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kuna acc si chini ya nne na page moja zote zinamuelezea Mh. Zitto Kabwe kwenye mtandao wa Facebook.
  Naomba ufafanuzi kutoka kwa zitto kwasababu tunaweza kuwa tunamlaumu kwa tunayoyaona kwenye acc hizo kumbe sio yeye.
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Zinamuelezeaje hizo acc?
   
Loading...